Saa 7 mchana
JF-Expert Member
- Dec 30, 2018
- 6,552
- 13,002
Aviator ni Ai imekuwa trainned icheze na wewe. Kuumia ni wazi waziUmenikumbusha jana wakati nacheza aviator laki moja yote niliiacha pale kila akipaa anaishia kwenye od ya 1 tu ila leo laki yangu itarudi