magufuli kafanya nini kwenye hiyo boldness?Kiuhalisia hizo changamoto hazitokwisha, viongozi ulionao leo, possibility kubwa watakuwepo hadi 2030 na masalia yao yanaweza kufika hadi 2045 - 2050
Hapa ikuoneshe hali itazidi kuwa mbaya unless atokee mtu mwenye boldness ya Magufuli at least kinaweza, fanyika kitu tofauti ama hiki kizazi cha 2010-2020 kiwehuke zaidi ya 2000, mfumo utalazimishwa kubadilika
Sasa chukua umri wako jumlisha na miaka 20-25 . Utakuwa na umri gani
Bro kama kuna matajiri somalia na nchi zenye vita tupambanie Tu kizazi kisije hadhirika. Yaliyobaki ni majaaliwa ya Mungu
fafanua mkuu7. Uchaguzi Ukikaribia – Msitulaumu Vijana
Kila uchaguzi ukifika, vijana wanaitwa wahuni. Lakini ukweli ni huu: tatizo si vijana, tatizo ni mifumo isiyofanya kazi. Msitugeuze sisi kuwa chanzo cha matatizo yenu.
Una sema kweli kaka, ila kumsubiri mtu mmoja “bold” aje kuokoa mfumo si suluhisho la kudumu. Tunahitaji mfumo ubadilike, sio kutegemea mtu mmoja. Hata huyo akiondoka, tunarudi pale pale.Kiuhalisia hizo changamoto hazitokwisha, viongozi ulionao leo, possibility kubwa watakuwepo hadi 2030 na masalia yao yanaweza kufika hadi 2045 - 2050
Hapa ikuoneshe hali itazidi kuwa mbaya unless atokee mtu mwenye boldness ya Magufuli at least kinaweza, fanyika kitu tofauti ama hiki kizazi cha 2010-2020 kiwehuke zaidi ya 2000, mfumo utalazimishwa kubadilika
Sasa chukua umri wako jumlisha na miaka 20-25 . Utakuwa na umri gani
Bro kama kuna matajiri somalia na nchi zenye vita tupambanie Tu kizazi kisije hadhirika. Yaliyobaki ni majaaliwa ya Mungu
Msituite vibaka siku ya uchaguzi😏fafanua mkuu
rais aliye madarakani jina lake nani?Msituite vibaka siku ya uchaguzi😏
Yupi?rais aliye madarakani jina lake nani?
Shukrani mkuu nimerekebisha tayari.Mabadiliko✅
Hiyo namba 6 kwa watoto wa mama, vigogo wa serikali ambao ni kula kulala bure, mafisadi au wapiga dili, kamwe hawatoamini. Ila ukweli ndiyo huo. Hali mtaani ni mbaya. Binafsi nafikiria kwenda TRA mwishoni mwa mwezi huu kufunga biashara. Kama vipi bora nirudi zangu Mofu kule Kilombero, nikalime mpunga na kuvua samaki.Ndugu wanajukwaa,
Kuna jambo lazima lisemwe wazi bila kuficha ukweli: vijana wa Tanzania tumechoka na mifumo isiyo na tija inayotukatisha tamaa kila siku.
1. Ajira Portal – Kivuli cha Matumaini
Leo unaona nafasi moja ya kazi, wanaomba watu zaidi ya 1,000. Huu si ushindani wa kawaida—ni dalili ya mfumo usio na uwiano. Vijana wanapoteza muda, fedha na nguvu bila uwazi wa mchakato wa ajira. Serikali iboreshe mfumo huu uwe na haki na uwazi.
2. Mikopo ya Vijana – Masharti Yanaua Ndoto
Kuna kelele nyingi kuhusu mikopo ya vijana, lakini uhalisia wake ni tofauti. Masharti ni magumu kiasi kwamba vijana wengi wanashindwa kufikia. Kama kweli mnataka vijana wajiajiri, basi wapeni mitaji kwa kuzingatia uwezo wao na ubunifu wao, si karatasi pekee.
3. TRA – Elimu Badala ya Adhabu
Tanzania Revenue Authority wanapaswa kuwa washirika wa wafanyabiashara, si chanzo cha hofu. Mtu anayeanza biashara apewe elimu ya kodi kwa uwazi na urahisi, sio kusubiri makosa halafu kuja na faini kubwa. Wasaidieni watu kukua, msisubiri kuwaadhibu.
4. Fursa za Nchi Jirani – Fungulieni Vijana Milango
Kuna fursa nyingi nje ya mipaka yetu. Serikali iweke mazingira ya kuwawezesha vijana kwenda kufanya biashara kwenye nchi jirani kwa urahisi, huku mkihakikisha mapato yanarudi nchini. Hii itasaidia kupunguza ukosefu wa ajira na kuongeza mzunguko wa pesa.
5. Hatutaki Show Off—Tunataka Matokeo
Hatutaki tena kuona ziara, picha na matangazo ya kuonesha kama kazi inafanyika. Mpiga kura wa leo si wa zamani—anataka matokeo ya vitendo, si maonyesho. Badilikeni. Fanyeni kazi zionekane kwenye maisha halisi ya wananchi, si kwenye kamera pekee.
6. Ukweli Mchungu: Mzunguko wa Pesa Umekufa
Hali ya uchumi kwa wananchi wa kawaida ni ngumu—hela imeadimika mitaani. Biashara hazizunguki, watu hawana nguvu ya kununua. Huu ni ukweli unaoonekana kila kona. Serikali ichukue hatua za haraka kurejesha mzunguko wa pesa ili wananchi waweze kuishi na kufanya biashara kwa uhuru.
7. Uchaguzi Ukikaribia – Msitulaumu Vijana
Kila uchaguzi ukifika, vijana wanaitwa wahuni. Lakini ukweli ni huu: tatizo si vijana, tatizo ni mifumo isiyofanya kazi. Msitugeuze sisi kuwa chanzo cha matatizo yenu.
Vijana hatuombi huruma—tunaomba haki, fursa, na mifumo inayofanya kazi. Tukipewa mazingira sahihi, tuna uwezo wa kubadilisha taifa hili.
Tumechoka na drama. Tunataka matokeo. Sasa.
wa 2025 to 3030Yupi?
Machoko sikuzote hua wanawaza uchoko tu.Vijana nyie si maono na madai yenu kuona serikali inapinga na kumaliza ushoga hapa nchini?
Haya mengine yanatoka wapi?
Atawaletea Anodi ShwazniggaRais ajaye Mheshimiwa Paul Christian Makonda amesikia kilio chenu