Beeb
JF-Expert Member
- Aug 18, 2018
- 29,394
- 59,069
Hongera zakeSijui kasema nini. Nimempongeza kwa alipofika.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hongera zakeSijui kasema nini. Nimempongeza kwa alipofika.
Kutokuchukuliwa hatua hakuhalalishi anayofanya NI sahihi.Kama anatapeli na bado vyombo husika vyakudili na matapeli havimchukulii hatua basi nampongeza.
namjua vizr sana wayback 2015 na ule uzi wake pendwa wa folekchi😂😂😂😂😂🤣 Inaona uyo jamaa humjui
namjua A to Z huyu ontarioUsipost tu!! Uliza wenyeji mkuu
Ilikuwa 2015????????namjua vizr sana wayback 2015 na ule uzi wake pendwa wa folekchi[emoji23][emoji23][emoji23]
nimesoma tu jina sirjef nikaona ohooooo.
yes miak iyo ndo alianza ushawish wake 16 -17 aka launch janglid plaza,Ilikuwa 2015????????
Teh tehKuna mazuzu yanatafutwa yapigwe...
Mzee ngoja watu watafte hela either kwa njia legal au illegalHeshima ipi ya kutapeli watu?
anawasaidia au anawatumia Kama daraja lake la kupita kwenye mafanikio?
Kwani mkuu tumeoana matapeli wangapi wakidakwa na serikali?. Narudia kukueleza kufanya kazi ya utapeli sio rahisi kama unadhani nirahisi jaribu wewe . Lakini mama kaweza kuwatapeli watu kuanzia 2017 mpaka Leo hii nabado hakamatwi na mamlaka basi nampongeza.Kutokuchukuliwa hatua hakuhalalishi anayofanya NI sahihi.
Kama hauamini ingia kwenye anga zake.hata wenzio walikuwa wabishi.ila vipigo vimewazindua