Paul dybala
JF-Expert Member
- Jul 30, 2023
- 524
- 2,097
Hivi hawa dada zetu mtaani ni nani kawaambia kuwa mwanaume akiwatongoza muda huohuo waanze kuomba pesa?
Hivi mtu nimeonesha nia tu ya kukutaka hata papuchi nimeona sio kipaumbele kwanza...sababu nataka tujenge mahusiano kwanza mtu anashindwa kujikaza kusubiri hata wiki iishe wakuu.
Yani kwa tafiti ndogo niliyoifanya ndani ya wadada watano, aisee hakuna ambae hakuomba hela Pele baada ya tulivomaliza tu kutongozana
Kizazi cha ajabu sana sijui nani yuko nyuma ya haya maswala.