Raymanu KE
JF-Expert Member
- Jan 20, 2022
- 8,611
- 16,118
Tamaa za pesa zimewatia wadada wengi Sana Matatizoni, hii ndio sababu masingle mothers wanaongezeka kwa Kasi Sana.
Unakuta dada watu macho yake yako Kwenye pesa ya mwanaume na mwisho wa siku anapigwa mimba na kuachwa solemba.
Unakuta dada watu macho yake yako Kwenye pesa ya mwanaume na mwisho wa siku anapigwa mimba na kuachwa solemba.