Vijana tusiozidi miaka 25 ambao tupo humu JF tukutane hapa

Nimejiunga mwaka 2018, ila kabla nilikua mfatiliaji wa stor za hum JF hasa ndugu Mshana Jr nilikua namfatilia sana tangu 2014
 
Hahaha nimecheka saana aseeh.

Kwamba kwenye comments ulikuwa unajipa maujiko hatari??? Ulikuwa unajisifia kwa yapi mkuu labda nami nijaribu mbinu.


Kwa hiyo sasa unamlia buyu tu...ila yeye haijui hii ID.
[emoji23] [emoji23] mzee Google ilikuwa inafanya kazi..
mtu akiuliza swali au kuomba msaada Mimi fasta nakimbilia Google nameza wee.then nakuja kuyatema
kule intelligence nilikuwa napeleka habari copy&paste kutoka Google na mitandao mingine. then source nikawa najiweka Mim...yaani kama habari inahusu hivi bhasi nitaiongezea chumvi+kujipa masifa
hali ile iliniongezea wafuasi sanaa..na wengi kuniamini na hata baadhi ya thread kuni mention [emoji23] [emoji23] [emoji23]ukiwa MJANJA jf rahaaa Sanaa ...
yaani laiti wangekuwa wanatambua kuwa alikuwa ni mtoto mdogo...
sema ukitaka kupata watu uwe mtu wa attention ...
Mimi nilikuwa na attention sanaa so ilikuwa easy sanaa kuingia Pm ya manzi na kumpiga swagz+manjonjo
kumbe holaa tuu..

haha namlia buyu ndiyo japo bado yupo humu na i'd yake sema na mvungia tu lakini bahati nzuri hajuh hii I'd labda aperuzi humu akumbuke hiki kisa....

ahaa mkuu hii ni I'd ya 3...
ile ambayo nilianzisha nikiwa 4m 4 ndiyo nilipata huyo mmama nilikuwa ndo nabalehe so swagz nyingi sana
kwa wadada sema nilikuwa nawapata shida age na maujiko yangu yalikuwa ni inversely kabisa ..

first time kuwa jf nilikuwa darasa la 6 hii I'd na password nilizisahau

second time kuwa jf ni 2012 baada ya kumaliza 4m 4 na hiyo I'd ndo ilikuwa ina Kiki bado naikumbuka sema naihifadhi huwa naiperuzi mara chache sanaa

third time. 2014 mpaka sasa...hii ndiyo imebadilishwa I'd zaid ya mara 20 kila nikiharibu sehemu nabadili I'd
 
Aseeh wewe ni nooma na fix zako.
 
Mkuu kuwa na amani tuu
Your a great thinker.
 
Ila unajiamini...kwa hiyo ukamtoa mmama wa watu kwake na gari yake...wewe unajitembeza kwa mguu? Tehtehteh.
 
Big brain matter more
Kumbe tunabishana na vitukuu wetu sometimes.....kweli jf ni uwanja huru,
yaani wakati mwingine unamwita mtu MKUU kumbe ni mwanao wa kumzaa.
 
Vizuri mkuu
 
Uko vizur mkuu.
Juhud hufanya malengo yatimie.
And big brain matter more
 
Tuliza kishimo hicho wewe mtoto wa kiume/sjui wa kike!!! Where is the crime there? You don't know me well...kama unataka battle na mimi sema ila utaumbuka.
Nikufahamu/Nisikufahamu/ uwe mkubwa au mdogo... Me nakuchana tyuuuuuu
 
Ni kweli wakuu, kuna viumbe humu umri umeenda wakiona mada za vijana huwa nikujibu pumba tu.


Kama wew ni Rika tajwa hapo juu.
Usisahau ku subscribe uzi huu.
Vizuri mkuu
 
Tupo hapa,,,

Wengine Mitaa haitaki kutuelewa.

Wengine tupo tupo tu Utadhani tumetoka Jeshi la Wafu.

Wengine tunaota ndoto zilizolowa ya kwamba kabla ya kufikia Miaka Thelathini na tano tutakuwa Mabilionea.

Dunia Tambara bovu,

Mapambano yanaendelea:
 
Kumbe Daby mzee baba wewe ni chalii...
Mi nilidhani avatar yako inaakisi rika lako
 
Id unabadilishaje?!??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…