Vijana tusiozidi miaka 25 ambao tupo humu JF tukutane hapa

Vijana tusiozidi miaka 25 ambao tupo humu JF tukutane hapa

Clark boots

JF-Expert Member
Joined
Jun 5, 2017
Posts
6,770
Reaction score
6,202
Mambo vipi vijana wenzangu,
Nachukuwa fursa hii kuwakaribisha katika Uzi huu pendwa tujuane na tujuzane mambo mbalimbali..
* Uliijuaje JF ukiwa na umri
mdogo kama huu maana
member wengi wa huu
mtandao ni watu
wazima japo mambo yao
utadhani kama ni under 18
* Vipi kuhusu life kwa ujumla,
bado uko chuo au kwa mtaa,
Unajitegemea au bado uko kwa
wazee
* Kama umetoka kwa wazee, ni
mbinu/jitihada zipi ulizitumia
hadi ukaweza kujinasua kutoka
kwa wazee.
* Kama umemaliza chuo vipi
kuhusu michakato ya kazi,
umejiajiri, umeajiriwa au bado
unasota mtaani.
* Vipi kuhusu mapenzi, una
mpenzi/umeoa au upo
kibachelabachela..

So basi, karibuni sana vijana wenzangu tujadili (Miaka 25 kushuka chini)
 
Jf nilianza kuipenda wakati niko form two nilikua nikichungulia kitu google wanani direct jf pia baadae kuna hizi habari za akina ben saanane sijui kaandika hivi huko jf ko nilikua napenda sana afu kipindi hicho nilikua sijui kumiliki email ko Nikitaka kujiunga mziki email
 
Mambo vipi vijana wenzangu,
Nachukuwa fursa hii kuwakaribisha katika Uzi huu pendwa tujuane na tujuzane mambo mbalimbali..
* Uliijuaje JF ukiwa na umri
mdogo kama huu maana
member wengi wa huu
mtandao ni watu
wazima japo mambo yao
utadhani kama ni under 18
* Vipi kuhusu life kwa ujumla,
bado uko chuo au kwa mtaa,
Unajitegemea au bado uko kwa
wazee
* Kama umetoka kwa wazee, ni
mbinu/jitihada zipi ulizitumia
hadi ukaweza kujinasua kutoka
kwa wazee.
* Kama umemaliza chuo vipi
kuhusu michakato ya kazi,
umejiajiri, umeajiriwa au bado
unasota mtaani.
* Vipi kuhusu mapenzi, una
mpenzi/umeoa au upo
kibachelabachela..

So basi, karibuni sana vijana wenzangu tujadili (Miaka 25 kushuka chini)

Niliijua JF kwakua mimi ni mtu wa kusoma soma online nilikua namsoma Dinahcious & co kuna siku nikiwa nasearch online story yenye kutisha ikaja link ya jf. Nilivyoingia na kuzidi kuperuzi nikakuta stori ya jamaa ambaye alitaitiwa na vibaka akiwa na mpenzi wake wakataka kumlawiti mshkaji, jamaa akakimbia akamuacha mke.

Niko mtaani, najitegemea ila soon narudisha mpira kwa kipa.

Kwa wazee ilinibidi tu nitoke sikua na option. Ila sitaelezea kilichotokea.

Bado nasota mtaani.

Sijaoa. Sipo single.
 
Nimeijua nikiwa form 3 mwaka(2014) ila nilifungua account ya kwanz 2015 japo sikuitumia sana nikaachana. Nipo chuo mwaka wa kwanza kazi bado sina ila by the way kama una online business yoyote waweza nishirikisha
 
Mambo vipi vijana wenzangu,
Nachukuwa fursa hii kuwakaribisha katika Uzi huu pendwa tujuane na tujuzane mambo mbalimbali..
* Uliijuaje JF ukiwa na umri
mdogo kama huu maana
member wengi wa huu
mtandao ni watu
wazima japo mambo yao
utadhani kama ni under 18
* Vipi kuhusu life kwa ujumla,
bado uko chuo au kwa mtaa,
Unajitegemea au bado uko kwa
wazee
* Kama umetoka kwa wazee, ni
mbinu/jitihada zipi ulizitumia
hadi ukaweza kujinasua kutoka
kwa wazee.
* Kama umemaliza chuo vipi
kuhusu michakato ya kazi,
umejiajiri, umeajiriwa au bado
unasota mtaani.
* Vipi kuhusu mapenzi, una
mpenzi/umeoa au upo
kibachelabachela..

So basi, karibuni sana vijana wenzangu tujadili (Miaka 25 kushuka chini)
Nimeifahamu jf since 2012 nikiwa advance na nina account ila nimesahau nywila hivyo imebidi kufungua mpya, kimaisha nipo mtaa napambana, sikufanikiwa kwenda chuo hivyo nikaamua kutafta mtaji na kujiajiri, mahusiano kiukweli bado nipo dilemma japo kuzini kupo tu na sina mpango wa kuoa hivi karibuni
 
Dah...kitambo sana...toka napiga shule kwa bibi...niliaso sana..hadi mwaka 1999 ndiyo nikapata kiingilio,...kitambo haikuwa bure Kama ilivyo Sasa....na kulikuwa interview ili waone kweli ni GT...siyo kama Sasa....Bado naaso kitaani ila siyo kivile...... Jf ni raha Sana[emoji41]
 
Mambo vipi vijana wenzangu,
Nachukuwa fursa hii kuwakaribisha katika Uzi huu pendwa tujuane na tujuzane mambo mbalimbali..
* Uliijuaje JF ukiwa na umri
mdogo kama huu maana
member wengi wa huu
mtandao ni watu
wazima japo mambo yao
utadhani kama ni under 18
* Vipi kuhusu life kwa ujumla,
bado uko chuo au kwa mtaa,
Unajitegemea au bado uko kwa
wazee
* Kama umetoka kwa wazee, ni
mbinu/jitihada zipi ulizitumia
hadi ukaweza kujinasua kutoka
kwa wazee.
* Kama umemaliza chuo vipi
kuhusu michakato ya kazi,
umejiajiri, umeajiriwa au bado
unasota mtaani.
* Vipi kuhusu mapenzi, una
mpenzi/umeoa au upo
kibachelabachela..

So basi, karibuni sana vijana wenzangu tujadili (Miaka 25 kushuka chini)
Japo ni nje ya mada lakini naomba niwe mlezi wenu.... Kwa nia njema kabisa
 
Eee tumekuja ulikuwa unasemaje??

Jf nilijua nikiwa nazurura tu mtandaoni mnamo mwaka 2011 nikiwa 17 age. Sikujua nini maana nlivofunguaga tu ( kipindi iko jf walikuwa hawana app) nikakuta mada mbali mbali tu..

Kwa sasa niko magetoni napambana na hali yangu ..elimu yang dàsaa la saba lakini nna akili nying kuliko wasomi wa vyuo vikuu..

Kwaiyo ndo ivo anii..
 
Nyie mkakutane Facebook huko
 
OK vizuri kiongozi

Back
Top Bottom