Clark boots
JF-Expert Member
- Jun 5, 2017
- 6,770
- 6,202
Mambo vipi vijana wenzangu,
Nachukuwa fursa hii kuwakaribisha katika Uzi huu pendwa tujuane na tujuzane mambo mbalimbali..
* Uliijuaje JF ukiwa na umri
mdogo kama huu maana
member wengi wa huu
mtandao ni watu
wazima japo mambo yao
utadhani kama ni under 18
* Vipi kuhusu life kwa ujumla,
bado uko chuo au kwa mtaa,
Unajitegemea au bado uko kwa
wazee
* Kama umetoka kwa wazee, ni
mbinu/jitihada zipi ulizitumia
hadi ukaweza kujinasua kutoka
kwa wazee.
* Kama umemaliza chuo vipi
kuhusu michakato ya kazi,
umejiajiri, umeajiriwa au bado
unasota mtaani.
* Vipi kuhusu mapenzi, una
mpenzi/umeoa au upo
kibachelabachela..
So basi, karibuni sana vijana wenzangu tujadili (Miaka 25 kushuka chini)
Nachukuwa fursa hii kuwakaribisha katika Uzi huu pendwa tujuane na tujuzane mambo mbalimbali..
* Uliijuaje JF ukiwa na umri
mdogo kama huu maana
member wengi wa huu
mtandao ni watu
wazima japo mambo yao
utadhani kama ni under 18
* Vipi kuhusu life kwa ujumla,
bado uko chuo au kwa mtaa,
Unajitegemea au bado uko kwa
wazee
* Kama umetoka kwa wazee, ni
mbinu/jitihada zipi ulizitumia
hadi ukaweza kujinasua kutoka
kwa wazee.
* Kama umemaliza chuo vipi
kuhusu michakato ya kazi,
umejiajiri, umeajiriwa au bado
unasota mtaani.
* Vipi kuhusu mapenzi, una
mpenzi/umeoa au upo
kibachelabachela..
So basi, karibuni sana vijana wenzangu tujadili (Miaka 25 kushuka chini)