Vijana tuwe makini: Uric acid, UTI sugu, blood pressure, anthritis, KDC, brusella na kisukari kuokota rahisi sasa hivi!

Watalam wa afya saiv wengi ni mandaz[emoji16]
 
Usinywe bia, usinywe maziwa, usile nyama nyekundu.

Wazee wetu wamekula nyama, wamekunywa maziwa, wanakunywa pombe tena za kienyeji, wamevuta kiko.

Kuna kitu hakipo sawa.
Yafaa kujua nini hakiko sawa kabla ya kufanya ulinganifu, Kuna mabadiliko mengi ya kimazingira na ya kidunia yanayochangiwa na shughuli za kibinadamu hali inayotishia kuongeze athari kwa binadamu kutokana na matumizi ya vyakula na vinywaji. Mathalani matumizi ya kimikali katika kilimo bila kuzingatia kanuni za afya kwa walaji, mabadiliko ya tabia ya nchi na matumizi ya dawa za mifugo bila kuzingatia kanuni na taratibu, hii imechangia kwa kiasi kikubwa kuathiri afya ya binadamu. Mfano kuna utafiti uliofanyika kuhusu wafugaji wa kuku kuwapa kuku amoxillin na ampliclox ili waweze kukabiliana na mafua. Nyama na mayai yaliyopiwa katika sampuli zilichokuliwa zilikutwa na kaisi kikubwa cha dawa hizo. Hivo binadamu hujikuta anatumia antibiotics indirectly hali inayosababisha usugu wa dawa na kudumiza uwezo wa mwili kupamnana na magonjwa.
 
Hii elimu ndiyo tulitegemea Wizara ya afya waihubiri sana kwenye media na hata kwenye mabasi na other public places kama ilivyokuwa kwa UKIMWI na TB lakini entertainment ya miziki na bongo movie ndiyo vimekuwa balanced diet ya watanzania
 
Kwa hiyo kampeni tunayopaswa kuihimiza ni ubora wa chakula sio kuacha kula.
 
■Tuache vitu vitamu sana kama soda na carbonated drinks

■Tupunguze nyama nyingi nyekundu

■Tupunguze beer

■Tupunguze mafuta mengi katika milo e.g vyakula vya kukaaga na mafuta mengi
Jana jioni tulikuwa na watu fulani kwenye kikao cha familia yao, wakawa wanatengeneza timu ya kwenda kumwona RPC ili wamtoe ndugu yao rumande, moja ya vigezo walivyozingatia kuunda timu ni vitambi ati wakienda wenye vitambi wanajenga ushawishi kwa RPC
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…