Vijana tuwe makini: Uric acid, UTI sugu, blood pressure, anthritis, KDC, brusella na kisukari kuokota rahisi sasa hivi!

Vijana tuwe makini: Uric acid, UTI sugu, blood pressure, anthritis, KDC, brusella na kisukari kuokota rahisi sasa hivi!

Kwa hiyo tusiende kavu kavu, twende vipi sasa. Yaani bila dry bora nitulizane tu.

Hata hivyo mengi uliyotaja nimejaribu kuyakwepa, sukari, maziwa, industrial drinks, nyama nyekundu vyote hivi au nimeacha au kupunguza sana. Maii nakunywa ya kutosha, kavu ndio sijaacha.
 
Mkuu unakula vyakula gani kama huli wanga?

Sent using Jamii Forums mobile app
Mchana salad [emoji1637]

Kama unataka kuanza intermittent fasting anza ya Milo miwili Kwa siku. Mwisho wa Milo yako ni saa Moja usiku.

Asubuhi unakunywa kinywaaji kama nilivyoeleza.

Mchana gonga salad. Halafu saa 1 piga mchemsho wa Samaki.

Kumbuka siku nzima unakunywa zako maji taratibu.

Kula matunda yenye fat sana Kama parachichi. Muda mwingine nakula maharage sana kama sehemu ya kutafuta protini bila kusahau vegetables.

Kile kinywaaji cha asubuhi cha tangawizi na karafuu muda mwingine kitakufanya kwenye libido uwe hatari.

NB: mwanzo ni mgumu ila ukiona umefanikisha Kwa mwezi mmoja utaona mabadiriko kwenye usingizi wako, uzito utapungua na maradhi itakuwa ni nadra kwako Kwa kula limao Kila asubuhi inabiost sana immunity.

Sent from my Pixel 5 using JamiiForums mobile app
 
Usiilaumu nyama Kwa maafa yaliyoletwa na sukari .

For ages Nyama imekuwa mlo wa binadamu.

Ishi maandalizi , usitie watu hofu
 
Kwani tunaishi duniani miaka mingapi mkuu, kwa sasa ukijitahidi sana ni 80 hapo umejitahidi sana.
KAsome Zaburi 90:10
Unaweza kumuomba Mungu akuongezee miaka ya ndugu zako waliokufa kabla ya miaka 70 akupe wewe!
Na ndiyo maana kuna watu wanaishi hadi miaka 100, wakati Biblia inasema miaka ya kuishi ni 80 tu
 
Kizazi chetu hakuna wa kufika hata 90 mkuu, lifestyle yetu imebadilika mno. Pressure, sukari, Figo, ini, hiv, saratani vyote hivi mtu wa umri wowote anaweza kupata miaka hii.
 
Kwa mujibu wa doctor SEBI magonjwa hutokana mwili kuwa acidic. Mwili unakuwa acidic Kwasababu ya kula vyakula vilivyo acidic.

Kwa mujibu wa doctor SEBI hakuna ugonjwa wowote ule dunian unaweza kusurvive kama mwili wako utakuwa ALKALINE. Pendelea kula vyakula vyenye alkaline.

Kujua chakula hiki ni acidic au alkaline ni Hadi upime Ph level. pH level Ina range kuanzia 0-14. Vyakula vyenye pH level kuanzia 7 kushuka chini Hadi 0 ni vyenye acid nyingi.

Na vyakula vinavyorange kuanzia 8 Hadi 14 ni vyenye alkaline nyingi sana.

Sasa Kwa mujibu wa Dr SEBI anasema achaneni na mavyakula yanye pH level ndogo ndio chanzo cha magonjwa yote,!

Dr SEBI anasema hata cancer haisurvive mbele ya alkaline.

Nina maandiko mengi ya Dr SEBI kuhusu mtazamo wake wa Lishe na magonjwa kama watanzania tungepata walau nusu ya kilichoandikwa kwenye maandiko yake hospital zingekosa watu.

5f2de8db40b0ad14a50552363ed3f2a3 (1).jpg
Screenshot_20231105-065021.jpg
Screenshot_20231105-065807.jpg

Nimeshindwa kupandisha kitabu cha Dr SEBI ila nimeweka sehemu kadhaa mjisomee
 
Kasome kwanza Huo mstari utaelewa kua inawezekana!
Labda kama huna bible😂
Psalms 90:10
[10]The days of our years are threescore years and ten; and if by reason of strength they be fourscore years, yet is their strength labour and sorrow; for it is soon cut off, and we fly away.
Siku za miaka yetu ni miaka sabini, Na ikiwa tuna nguvu miaka themanini; Na kiburi chake ni taabu na ubatili, Maana chapita upesi tukatokomea mara.
 
Wanaoishi miaka zaidi ya 70 wana nini na mimi na wewe tuna nini!? Muhimu kumuomba Mungu na kusimamia huo mstari

Labda kama wewe mwenzangu hutaki kufika 70
 
Wanaoishi miaka zaidi ya 70 wana nini na mimi na wewe tuna nini!? Muhimu kumuomba Mungu na kusimamia huo mstari

Labda kama wewe mwenzangu hutaki kufika 70
Ili ujue lifespan yako, angalia vizazi vyenu, ikiwa watu wa damu yako wanaishi maisha marefu, likelihood ya kuishi miaka mingi ni kubwa, ukiona wengi wenu ni 50, 60...jiandae tu coz ndivyo ilivyo.
 
1. Kunywa maziwa haina athari yeyote ile kisayansi ikiwa tu, utachemsha maziwa vizuri kwa centigrade 100' il kuepusha ugonjwa aina ya Bhang Disease(brucellosis/brucella), ugonjwa huu pia huwapata wale wanao shinda machinjio ya wanyama ( ng'ombe, mbuzi, kindoo na n.k)

2. Kwa upande wa mafuta, hapa yamegawanyika sehemu mbili, kuna mafuta mazito(kuganda) na mafuta malain(ambayo haya gandi) ..
. Mafuta yanayo Ganda mfano mafuta ya ng'ombe
. Mafuta yasiyo Ganda mfano mafuta ya kiti moto, mafuta ya Alizeti.

Asante kwa ushauri mzuri, vijana wengi nowadays tumekua wavivu sana kufuata protocol za maisha..

Mafuta ya nayoganda ni best kiafya kuliko ya siyoganda.
 
Back
Top Bottom