Mwl.RCT
JF-Expert Member
- Jul 23, 2013
- 14,624
- 20,666
Tatizo liko kwenye life style kwa ujumla.Kama nyama nyekundu ni tatizo si wamasai na wsgogo wote wangekuwa na uric acid?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tatizo liko kwenye life style kwa ujumla.Kama nyama nyekundu ni tatizo si wamasai na wsgogo wote wangekuwa na uric acid?
Kunywa maziwa hadi.....😅Asubuhi ikipita bila kunywa maziwa sijisikii vizuri😥 tho najua maziwa kupitiliza inasababisha cancer
Mchana salad [emoji1637]
Tulizana tu! Uepuke zako magonjwaKwa hiyo tusiende kavu kavu, twende vipi sasa. Yaani bila dry bora nitulizane tu.
Kwani tunaishi duniani miaka mingapi mkuu, kwa sasa ukijitahidi sana ni 80 hapo umejitahidi sana.Tulizana tu! Uepuke zako magonjwa
KAsome Zaburi 90:10Kwani tunaishi duniani miaka mingapi mkuu, kwa sasa ukijitahidi sana ni 80 hapo umejitahidi sana.
Kizazi chetu hakuna wa kufika hata 90 mkuu, lifestyle yetu imebadilika mno. Pressure, sukari, Figo, ini, hiv, saratani vyote hivi mtu wa umri wowote anaweza kupata miaka hii.KAsome Zaburi 90:10
Unaweza kumuomba Mungu akuongezee miaka ya ndugu zako waliokufa kabla ya miaka 70 akupe wewe!
Na ndiyo maana kuna watu wanaishi hadi miaka 100, wakati Biblia inasema miaka ya kuishi ni 80 tu
Kasome kwanza Huo mstari utaelewa kua inawezekana!Kizazi chetu hakuna wa kufika hata 90 mkuu, lifestyle yetu imebadilika mno. Pressure, sukari, Figo, ini, hiv, saratani vyote hivi mtu wa umri wowote anaweza kupata miaka hii.
Psalms 90:10Kasome kwanza Huo mstari utaelewa kua inawezekana!
Labda kama huna bible😂
Wanaoishi miaka zaidi ya 70 wana nini na mimi na wewe tuna nini!? Muhimu kumuomba Mungu na kusimamia huo mstariPsalms 90:10
[10]The days of our years are threescore years and ten; and if by reason of strength they be fourscore years, yet is their strength labour and sorrow; for it is soon cut off, and we fly away.
Siku za miaka yetu ni miaka sabini, Na ikiwa tuna nguvu miaka themanini; Na kiburi chake ni taabu na ubatili, Maana chapita upesi tukatokomea mara.
Ili ujue lifespan yako, angalia vizazi vyenu, ikiwa watu wa damu yako wanaishi maisha marefu, likelihood ya kuishi miaka mingi ni kubwa, ukiona wengi wenu ni 50, 60...jiandae tu coz ndivyo ilivyo.Wanaoishi miaka zaidi ya 70 wana nini na mimi na wewe tuna nini!? Muhimu kumuomba Mungu na kusimamia huo mstari
Labda kama wewe mwenzangu hutaki kufika 70
Mara ya mwisho kuona msiba kwenye ukoo wetu ni 2005, kuna vikongwe kama woteIli ujue lifespan yako, angalia vizazi vyenu, ikiwa watu wa damu yako wanaishi maisha marefu, likelihood ya kuishi miaka mingi ni kubwa, ukiona wengi wenu ni 50, 60...jiandae tu coz ndivyo ilivyo.
Ukiwa kavulana kadogo tu😅 jiandae kuishi, unless ...Mara ya mwisho kuona msiba kwenye ukoo wetu ni 2005, kuna vikongwe kama wote
Amin!Ukiwa kavulana kadogo tu😅 jiandae kuishi, unless ...
1. Kunywa maziwa haina athari yeyote ile kisayansi ikiwa tu, utachemsha maziwa vizuri kwa centigrade 100' il kuepusha ugonjwa aina ya Bhang Disease(brucellosis/brucella), ugonjwa huu pia huwapata wale wanao shinda machinjio ya wanyama ( ng'ombe, mbuzi, kindoo na n.k)
2. Kwa upande wa mafuta, hapa yamegawanyika sehemu mbili, kuna mafuta mazito(kuganda) na mafuta malain(ambayo haya gandi) ..
. Mafuta yanayo Ganda mfano mafuta ya ng'ombe
. Mafuta yasiyo Ganda mfano mafuta ya kiti moto, mafuta ya Alizeti.
Asante kwa ushauri mzuri, vijana wengi nowadays tumekua wavivu sana kufuata protocol za maisha..