Tajiri wa kusini
JF-Expert Member
- Nov 28, 2022
- 1,079
- 2,947
Kwa hio 750k na 1.5M ni ndogo?Mara nyingi nimesema hili lakini mwamko wa vijana wengi ni mdogo
Vijana wanapenda sana ajira wakikunja 750k au 1.5m kwa mwezi wanaridhika
Milioni 30 kwa miaka miwili ni sawa na milioni 15 kwa miezi 12 ambayo ni milioni 2.5 kwa mwezi...For almost 2 year ambapo nilianza kufanya kilimo serious nimeingiza almost 30 milioni for two year aisee! Nyie sasa kutwa kushinda kwenye betting na msingi kiuno halafu mtegemee kutoboa kwenye maisha?
Vijana pambaneni kwenye kilimo tokeni hapo Dar esSalaam hapo nendeni mkalime mwishowe mkiendelea kukaa hapo hapo Dar mtafanywa msingi kiuno
Eti kisa umesoma ndiyo hamji kwenye kilimo? Makima nyie? Infact kama mnataka mali njoeni shambani aisee kima nyie.
" mjini msingi kiuno"
Waache wawe mashoga tu wao si wanahisi mjini msngi kiunoMara nyingi nimesema hili lakini mwamko wa vijana wengi ni mdogo
Wengine tubaki kama consumers!For almost 2 year ambapo nilianza kufanya kilimo serious nimeingiza almost 30 milioni for two year aisee! Nyie sasa kutwa kushinda kwenye betting na msingi kiuno halafu mtegemee kutoboa kwenye maisha?
Vijana pambaneni kwenye kilimo tokeni hapo Dar esSalaam hapo nendeni mkalime mwishowe mkiendelea kukaa hapo hapo Dar mtafanywa msingi kiuno
Eti kisa umesoma ndiyo hamji kwenye kilimo? Makima nyie? Infact kama mnataka mali njoeni shambani aisee kima nyie.
" mjini msingi kiuno"
Mtajua wenyeweSasa Mkuu ndio utuite kima?