Vijana utajiri upo kwenye kilimo, tokeni mjini huko aisee!

Vijana utajiri upo kwenye kilimo, tokeni mjini huko aisee!

kijana kwanza ulishapata kazi ya kuzibua vyoo??

ukiwa muongo uwe na kumbukumbu

Hahahaha hii inaenda
 
For almost 2 year ambapo nilianza kufanya kilimo serious nimeingiza almost 30 milioni for two year aisee! Nyie sasa kutwa kushinda kwenye betting na msingi kiuno halafu mtegemee kutoboa kwenye maisha?

Vijana pambaneni kwenye kilimo tokeni hapo Dar esSalaam hapo nendeni mkalime mwishowe mkiendelea kukaa hapo hapo Dar mtafanywa msingi kiuno

Eti kisa umesoma ndiyo hamji kwenye kilimo? Makima nyie? Infact kama mnataka mali njoeni shambani aisee kima nyie.

" mjini msingi kiuno"
Hivi wote tukilima nani atanunua?
Nani atawasha umeme taifa hili ? n.k Labda ungeshauri kama mtu anaona anachokifanya mjini hakielewi aje mkalime.
Hiyo 30m wala hujatoboa,kumbuka ukiumwa mwezi mmoja tu yote inapukutika na madeni juu.
Mwajiliwa angalau ana bima ya afya inaweza kumsukuma japo kwenye mapato huwa hatuzingatii hilo.
 
Kwani umelazimishwa kutoa ushauri au wajipendekeza?
Hakuna sehemu nimsema nimemlazimisha mtu nimesema kushauri

Tukiwa kama mabroo wakati mwingine tunapenda kushare experience na wadogo zetu wanaojitafuta

Ila mwisho wa siku muamuzi wa mwisho ni mtu mwenyewe
 
For almost 2 year ambapo nilianza kufanya kilimo serious nimeingiza almost 30 milioni for two year aisee! Nyie sasa kutwa kushinda kwenye betting na msingi kiuno halafu mtegemee kutoboa kwenye maisha?

Vijana pambaneni kwenye kilimo tokeni hapo Dar esSalaam hapo nendeni mkalime mwishowe mkiendelea kukaa hapo hapo Dar mtafanywa msingi kiuno

Eti kisa umesoma ndiyo hamji kwenye kilimo? Makima nyie? Infact kama mnataka mali njoeni shambani aisee kima nyie.

" mjini msingi kiuno"
Vizuri sana ......hujatuonesha mfano wakuwamotivate watu mfano nna shamba heka 7 mkoa X nalima viazi , Gharama ziko hivi...hivo sasa hapo si kama siasa tu hatukuelewi unalalamika tu
 
Wakuu mimi ndio kiranja mkuu huku kuzimu yote yaliyosemwa sio kweli. Narudia tena ni uwongo mtupu.

Kunyweni bia sana imbeni na fanyeni ibada kujifurahisha mwili. Huku hakuna mambo ya duniani kwa hiyo fanyeni mpaka mzeekee.

Huku ni kuzuri ila sio kama duniani. Kuna shida na karaha kuliko duniani. Sio sehemu ya kufikiria kuja ukiwa na nguvu. Ni bora ukae gerezani kuliko kuzimu huku haina vitu vya duniani.
 
Inategemeana na mwaka wa zao unalolima Kama mwaka huu mbaazi Ina pesa na Haina garama debe la mbaazi kwa mkulima shamba anauza 37000 Sasa ukilima eneo kubwa hio million 30 bado ni ndogo na mbaazi Haina garama tuache kukariri kulima nyanya na tikit

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
For almost 2 year ambapo nilianza kufanya kilimo serious nimeingiza almost 30 milioni for two year aisee! Nyie sasa kutwa kushinda kwenye betting na msingi kiuno halafu mtegemee kutoboa kwenye maisha?

Vijana pambaneni kwenye kilimo tokeni hapo Dar esSalaam hapo nendeni mkalime mwishowe mkiendelea kukaa hapo hapo Dar mtafanywa msingi kiuno

Eti kisa umesoma ndiyo hamji kwenye kilimo? Makima nyie? Infact kama mnataka mali njoeni shambani aisee kima nyie.

" mjini msingi kiuno"
Kilimo ni mchakato
Kilimo kina miundombinu
Kilimo kina sayansi
Mwisho kabisa kilimo ni biashara
[emoji116][emoji116]
Amka kutoka usingizini ume vimbiwa maharage unakuja tu kusema umepata mil 30 ....ndani ya miezi 24 ..... mweleze kinaga ubaga hizo process hapo juu kijana awe na uelewa mpana asikurupuke kama ulivyo fanya ..... mwisho wa siku wew ni kenge hujui lolote kuhusu kilimo
 
Kmmmk la mama yko
 
Kwangu mimi ni timing mbovu hasa kwenye perishable goods. Naendelea kujifunza pia.

Lakini kwenye mbegu ndio sijajua nakosea wapi. Tunaambiwa 40bags/acre kwenye mahindi lakini sasa hayo mavuno Yanasikitisha
mmnh japo sio mzoefu sana lakini nionavyo bora kuanza na kilimo cha nafaka zinazoeleweka kama mahindi, mpunga na vinavyofanana ili soko likiwa na wenge unatunza store.. pia kupunguza matarajio hizi mambo za 40bags hatuna tech hiyo kibongobongo

Sent from my WAS-TL10 using JamiiForums mobile app
 
Mwakani ngoja nirudi kulima

Naangalia upepo kwanza

Ova
 
Kwa gharama za maisha tulizo nazo wewe unaonaje?
Mimi naona freshman Ting sio vibaya nikikunja 1.5M bila makato kwa Mwezi namaanisha inachomoka hivyo hivyo kwenye ATM kwa Mwaka 18M [mshahara wa Mbunge kwa Mwezi] inakua imekunjwa nshaanzisha asset zingine za kuniingizia 1.5M kwa mwezi kila moja nikiajiri kijana nikawa nampa 200k kwa Mwezi kwenye kila asset nna hasara gani, hapo unaonaje?
 
Back
Top Bottom