Vijana utajiri upo kwenye kilimo, tokeni mjini huko aisee!

kijana kwanza ulishapata kazi ya kuzibua vyoo??



ukiwa muongo uwe na kumbukumbu

 
Tutahamia shambani mkuu tumekuelewa.
 
mkuu kama hutojali share uzoefu wako hivo hivo ulivyoanguka, watu wengi tunapenda kusikiliza mafanikio tunakosa sehem muhim yakujifunza..
Kwangu mimi ni timing mbovu hasa kwenye perishable goods. Naendelea kujifunza pia.

Lakini kwenye mbegu ndio sijajua nakosea wapi. Tunaambiwa 40bags/acre kwenye mahindi lakini sasa hayo mavuno Yanasikitisha
 
30 million madogo wanaingiza per week hapa mjini
 
toka kuwa nesi mkunga hadi kilimo dah basi kweli kilimo kinalipa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…