Vijana Village Funds: Mikopo isiyo na riba lengo kuishi vijijini na kufanya uzalishaji

Masalu Jacob

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2017
Posts
1,446
Reaction score
1,645
Habari Tanzania !

Naomba kuweka mawazo mseto kwa maendeleo ya nchi yetu. Naomba paanzishwe " Vijana Village Funds" huu uwe mfuko wa ukopeshwaji kwa vijana kwenda kuishi Vijijini na kuhakikisha wanaanzisha maendeleo na kuwa wazalishaji bora wa bidhaa mbalimbali kutokana na asilia ya eneo husika.

Tuna maeneo mengi sana ambayo ni mazuri kwa uwekezaji hapa Tanzania, shida kubwa vijana wengi tumeamua na kushawishika kukimbilia Mijini tukiamini kuna urahisi na wepesi wa kufanya maisha.

Naomba kutoa wito kwa Serikali na nchi ikiwapendeza tuwavutie Vijana waende Vijijini wakaishi huko na kuleta maendeleo mazuri.

NB

Viwanda vyote vipya vya kutoka nje vijengwe Vijijini.

Karibuni.
 
Naomba kutoa with kwa Serikali na nchi ikiwapendeza tuwavutie Vijana waende Vijijini wakaishi huko na kuleta maendeleo mazuri.

NB

Viwanda vyote vipya vya kutoka nje vijengwe Vijijini.

Karibuni.
Tayari TZ kuna mikopo ya Halmashauri. Haija riba yoyote hata 100.
 
Pendekezo langu ni kuwafanya Vijana waende Vijijini kufanya Uwekezaji kule ikichagizwa na elimu, ujuzi au elimu zao huko.
Uhamiaji wa mijini, naona kwa nchi yetu umepungua sana.

Siyo kama zamani.

Shida iliyopo, ni tatizo la ajira ambalo litatatuliwa kwa viwanda (manufacturing)
 
Wazo zuri ,kamata machawa wote wape mkopo peleka nyampurukano wakalime majaruba ya mpunga .

Sio kushinda kwenye magorofa ya makumbusho wanapiga miayo na kusifia ujinga ujinga ,oooh mama katufikia ilihali mama zao wapo vijijini hata mia hawawatumii .

Safi kabisa nimeipenda hii
Hii sahihi kabisa.
Waende Vijijini hii itapunguza "Urbanisation Challenge"
 
Uhamiaji wa mijini, naona kwa nchi yetu umepungua sana.

Siyo kama zamani.

Shida iliyopo, ni tatizo la ajira ambalo litatatuliwa kwa viwanda (manufacturing)
Viwanda sifa mama ni nguvu kazi (man power). Tukiwapa njia na nyenzo wataenda wengi na hata hao wawekezaji watapeleka hii huduma huko.
 
Utashangaa wanufaika ni akina baba levo waliopo mjini
Habari Tanzania !

Naomba kuweka mawazo mseto kwa maendeleo ya nchi yetu. Naomba paanzishwe " Vijana Village Funds" huu uwe mfuko wa ukopeshwaji kwa vijana kwenda kuishi Vijijini na kuhakikisha wanaanzisha maendeleo na kuwa wazalishaji bora wa bidhaa mbalimbali kutokana na asilia ya eneo husika.

Tuna maeneo mengi sana ambayo ni mazuri kwa uwekezaji hapa Tanzania, shida kubwa vijana wengi tumeamua na kushawishika kukimbilia Mijini tukiamini kuna urahisi na wepesi wa kufanya maisha.

Naomba kutoa wito kwa Serikali na nchi ikiwapendeza tuwavutie Vijana waende Vijijini wakaishi huko na kuleta maendeleo mazuri.

NB

Viwanda vyote vipya vya kutoka nje vijengwe Vijijini.

Karibuni.
 
Habari Tanzania !

Naomba kuweka mawazo mseto kwa maendeleo ya nchi yetu. Naomba paanzishwe " Vijana Village Funds" huu uwe mfuko wa ukopeshwaji kwa vijana kwenda kuishi Vijijini na kuhakikisha wanaanzisha maendeleo na kuwa wazalishaji bora wa bidhaa mbalimbali kutokana na asilia ya eneo husika.

Tuna maeneo mengi sana ambayo ni mazuri kwa uwekezaji hapa Tanzania, shida kubwa vijana wengi tumeamua na kushawishika kukimbilia Mijini tukiamini kuna urahisi na wepesi wa kufanya maisha.

Naomba kutoa wito kwa Serikali na nchi ikiwapendeza tuwavutie Vijana waende Vijijini wakaishi huko na kuleta maendeleo mazuri.

NB

Viwanda vyote vipya vya kutoka nje vijengwe Vijijini.

Karibuni.
Wewe uko mjini au kijijini???????
 
Hili wazo linahusu kuchochea maendeleo Vijijini kwa kushawishi Vijana watoke Mijini.

Mimi nipo Kijijini na Mjini pia. Naongea haya kwa uhalisia naona vijana na Serikali wanavyoteseka kwa pamoja.
Kakae kijijini ndipo uandike huu Uzi
Unaweza ukaudelete
 
Kakae kijijini ndipo uandike huu Uzi
Unaweza ukaudelete
Hii njia inapunguza madhara mjini na kuleta usawa wa maendeleo kati ya Vijijini na Mijini.

Ulishawahi jiuliza kwanini; Huduma za kijamii Mijini ni mbovu ili hali kuna wataalamu wengi, vifaa vya kutosha na miundombinu mizuri?

Hapa chanzo chake ni uwepo wa Vijana kuwa wengi sana na wengi wameathirika na changamoto za maisha kwa kukosa Kazi na kuishi maisha magumu.
 
Unajua hali za wataalamu huko vijijini kisaikolojia/akili? Sio mbaya tuanze mambo yatakaa sasa mbeleni
 
Hii ndio njia sasa. Tatizo tumekuwa na changamoto nyingi kwenye taifa chanzo kikuu ni ongezeko la watu. Hii changamoto inawashinda hata watawala kuwamudu na kuwaletea maendeleo kwa urahisi.

Miongoni mwa njia nyepesi na isio na madhara ya moja kwa moja ni hii kuwapa uwezo wa kifedha vijana kurudi Vijijini kuishi na kufanya maendeleo yao huko.
 
Back
Top Bottom