HaaaaahaaaaaWazo zuri sanaaa ila huko vijijini wajiandae na vimbwenga vya wachawi
Watu wanafuata huduma.Viwanda sifa mama ni nguvu kazi (man power). Tukiwapa njia na nyenzo wataenda wengi na hata hao wawekezaji watapeleka hii huduma huko.
Si rahisi hivyo. Pasipo msukumu wa sera fulani fulani.Watu wanafuata huduma.
Ndio maana watu wanafunga safari kwenda migodini.
Ukishajenga kiwanda kinataka watu, wataenda tu.
Vijana bado hatuko serious.Si rahisi hivyo. Pasipo msukumu wa sera fulani fulani.
Wakiamua na wakiipenda Tanzania wataona vinavyopaswa kufanyika.Vijana bado hatuko serious.
Kuunda vikundi na kupata mikopo, tumeshindwa.
Kila mtu anatafuta shortcut, analalamika, anaendekeza ubinafsi.
Hakuna serikali inaweza kutusaidia mmoja mmoja, lazima tuwe KUNDI rasmi.