Wewe wasema.Kwa hyo ww ukivuta inakupelekea kulakula misos tuu
mi naogopa kuvuta sana na ni bora isiwe available maana italeta balaaRa
Rapa B Real anavuta sana ile pia anauza
Kuna ngoma ya SCARFACE inaitwa Mary Jane inawezekana alikuwa anazungumzia kuhusu huu mmea pendwa ,π€Mary Jane,Mti.ππππ
Vp kuhusu Mr Pablo nae anachoma?πmi naogopa kuvuta sana na ni bora isiwe available maana italeta balaa
Kuna mwamba nilikaa nae room moja mabibo hostel...mi nipo first year yeye third year alikuwa COET ebwanaee kila siku jioni alikuwa anapiga ganja imejaa kikombe Cha chai na inaisha na ni dailyKuna mwanangu nilipiganae pale xxx jamaa alikuwa ganja kishenzi.... Akakong'ota zake 1 ya 3 akapata scholarship Algeria Sasa anapiga kazi Monaco Ufaransa sijui huko Nako Kuna bange au sijui ameacha.
Huyo mwamba atakuwa alikua na nyota ya JamaicaKuna mwamba nilikaa nae room moja mabibo hostel...mi nipo first year yeye third year alikuwa COET ebwanaee kila siku jioni alikuwa anapiga ganja imejaa kikombe Cha chai na inaisha no daily
Umepiga skankaSitasahau siku niliyovuta bangi nikamtukana baba na mama mbele ya wazazi wangu
Nilikuwa na date na demu flani mfanyakazi wa bank flani, at first sikujua kama anavuta bangi kwa usmart wake. Siku nimetoka nae out baada ya kupiga chupa kadhaa akaniomba kwenda faragha kidogo, baada ya muda nami nikaenda kona Ile ile aliyoelekea, nafika nyuma kule namkuta yupo na washkaji wanavuta bhangi na yeye ndio alikuwa ameishikilia vidoleni. Sikuonesha mshangao wala kuonesha kufahamiana nae mbele ya wale washkaji nikawapita zangu. Aliporudi kweli alikuwa amechangamka tofauti na mwanzo wakati anakunywa kinywaji, akaniomba msamaha kwakurudi late na kanisimulia alianzaje kuvuta na huwa anajisikiaje akivuta.Cha ajabu siku hizi wanawake wa mjini wamekuwa wavuta bangi ile mbaya.
Hawa mnawaita pisi kali wanakula moshi sana.Nilikuwa na date na demu flani mfanyakazi wa bank flani, at first sikujua kama anavuta bangi kwa usmart wake. Siku nimetoka nae out baada ya kupiga chupa kadhaa akaniomba kwenda faragha kidogo, baada ya muda nami nikaenda kona Ile ile aliyoelekea, nafika nyuma kule namkuta yupo na washkaji wanavuta bhangi na yeye ndio alikuwa ameishikilia vidoleni. Sikuonesha mshangao wala kuonesha kufahamiana nae mbele ya wale washkaji nikawapita zangu. Aliporudi kweli alikuwa amechangamka tofauti na mwanzo wakati anakunywa kinywaji, akaniomba msamaha kwakurudi late na kanisimulia alianzaje kuvuta na huwa anajisikiaje akivuta.
Huyu alifundishwa kuvuta akiwa mdogo kabisa na kaka yake na kwa maelezo yake akishavuta ndio anafanya kazi effectively and efficiently. Nilichompendea ni ile hali ya usafi aliokuwa nao, hautasikia harufu ya bhangi ikitoka mdomoni kwake, sasa sijui alikuwa akitumia nini baada ya kuvuta.
Sure mkuu na akishapiga utamfurahia faragha, hachoki mapema, anataka anataka na kutaka tu haha....πHawa mnawaita pisi kali wanakula moshi sana.
Halafu ni kwa siri, upo sahihi mkuu.
Mi nishawazoea na nimewashuhudia wengi tu.
Itakuwa anatumia breath spray.
Mwanachama hai kabisaa..umetaja misamiati ile yenyeweeπππππChronic, bud
Your natural you come from seeds? I decreeKuna ngoma ya SCARFACE inaitwa Mary Jane inawezekana alikuwa anazungumzia kuhusu huu mmea pendwa ,π€
Miwa, Juice baridi yenye sukari, matunda au soda...Keki nk...Usiwaze hatuwezi kuchanganyikiwa tukivuta sana bange ikatuzidia huwa tunakula miwa kukata ukali
Hapana nae ali jaribu tuuVp kuhusu Mr Pablo nae anachoma?π