Vijana wa 2,000 mnaoanza kutest ganja kirahisi rahisi, sisi Juma Nature alitushauri hivi kwa phrase fupi sana ila yenye maana kubwa sana

Kuna mwanangu nilipiganae pale xxx jamaa alikuwa ganja kishenzi.... Akakong'ota zake 1 ya 3 akapata scholarship Algeria Sasa anapiga kazi Monaco Ufaransa sijui huko Nako Kuna bange au sijui ameacha.
Kuna mwamba nilikaa nae room moja mabibo hostel...mi nipo first year yeye third year alikuwa COET ebwanaee kila siku jioni alikuwa anapiga ganja imejaa kikombe Cha chai na inaisha na ni daily
 
Cha ajabu siku hizi wanawake wa mjini wamekuwa wavuta bangi ile mbaya.
Nilikuwa na date na demu flani mfanyakazi wa bank flani, at first sikujua kama anavuta bangi kwa usmart wake. Siku nimetoka nae out baada ya kupiga chupa kadhaa akaniomba kwenda faragha kidogo, baada ya muda nami nikaenda kona Ile ile aliyoelekea, nafika nyuma kule namkuta yupo na washkaji wanavuta bhangi na yeye ndio alikuwa ameishikilia vidoleni. Sikuonesha mshangao wala kuonesha kufahamiana nae mbele ya wale washkaji nikawapita zangu. Aliporudi kweli alikuwa amechangamka tofauti na mwanzo wakati anakunywa kinywaji, akaniomba msamaha kwakurudi late na kanisimulia alianzaje kuvuta na huwa anajisikiaje akivuta.
Huyu alifundishwa kuvuta akiwa mdogo kabisa na kaka yake na kwa maelezo yake akishavuta ndio anafanya kazi effectively and efficiently. Nilichompendea ni ile hali ya usafi aliokuwa nao, hautasikia harufu ya bhangi ikitoka mdomoni kwake, sasa sijui alikuwa akitumia nini baada ya kuvuta.
 
Hawa mnawaita pisi kali wanakula moshi sana.

Halafu ni kwa siri, upo sahihi mkuu.

Mi nishawazoea na nimewashuhudia wengi tu.

Itakuwa anatumia breath spray.
 
Mti hautaki uwe na shida.Mti unataka watu makini sio njaa njaa na mawazo ya kutaka utajiri kupitia Mti.

Mti una heshima yake na pahapa pake na watu wake.

Mti unataka shibe ya akili na mwiliπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Ahhah
 
Back
Top Bottom