Resilience
JF-Expert Member
- Jan 4, 2023
- 1,096
- 4,948
Harafu kweli. Labda wakikua wataacha.Tanzania inapitia kipindi kigumu sana pale unapokuwa na taifa la vijana 18yrs na 25 wasiofahamu mambo ya msingi kwenye nchi. Hawajishughulishi na siasa, uchumi wala maendeleo...
Na mbususuTanzania inapitia kipindi kigumu sana pale unapokuwa na taifa la vijana 18yrs na 25 wasiofahamu mambo ya msingi kwenye nchi. Hawajishughulishi na siasa, uchumi wala maendeleo ; hawapo kwenye mikakati ya Taifa kusonga mbele. Wao wanaamini katika ulevi, kamati, kubeti, mpira na mambo kama hayo.
Je, nini kifanyike kubadilisha hiki kizazi? Kesho yao itakuwaje? Je wakifika umri wakuliongoza Taifa watoto wao hawatakuta kila kimeuzwa?
😆😆Mpira una shida gani arifu!
Kwani hao wageni wa miaka ya 2000 wa huko Wana jipya???Tanzania inapitia kipindi kigumu sana pale unapokuwa na taifa la vijana 18yrs na 25 wasiofahamu mambo ya msingi kwenye nchi. Hawajishughulishi na siasa, uchumi wala maendeleo; Hawapo kwenye mikakati ya Taifa kusonga mbele. Wao wanaamini katika ulevi, kamati, kubeti, mpira na mambo kama hayo.
Je, nini kifanyike kubadilisha hiki kizazi? Kesho yao itakuwaje? Je wakifika umri wakuliongoza Taifa watoto wao hawatakuta kila kimeuzwa?
[emoji1787],Mpira una shida gani arifu!
Sijaona kizazi kilicho bora kwa Tanzania yetu, bora kuheshimiana tu kuliko kuzodoanaTanzania inapitia kipindi kigumu sana pale unapokuwa na taifa la vijana 18yrs na 25 wasiofahamu mambo ya msingi kwenye nchi. Hawajishughulishi na siasa, uchumi wala maendeleo; Hawapo kwenye mikakati ya Taifa kusonga mbele. Wao wanaamini katika ulevi, kamati, kubeti, mpira na mambo kama hayo.
Je, nini kifanyike kubadilisha hiki kizazi? Kesho yao itakuwaje? Je wakifika umri wakuliongoza Taifa watoto wao hawatakuta kila kimeuzwa?
👍👍Nyie Wazee mtupishe tu Mna laana ya Utumwa bado ipo Akilini,
Tena hiki kizazi ndicho kinafanya mambo ambayo "ni kichaa peke yake" angeyakubali. Halafu eti tunajifanya kuwazodoa watoto wetu!Maisha mabovu watanzania wanapitia ni zao la kizazi kilichotangulia, tena kizazi kinachojihisi kimekua kizazi bora sana na cha kuigwa
Mbona tayari ! kingine wanachojua ni ugomvi wa Harmonize na KajalaTanzania inapitia kipindi kigumu sana pale unapokuwa na taifa la vijana 18yrs na 25 wasiofahamu mambo ya msingi kwenye nchi. Hawajishughulishi na siasa, uchumi wala maendeleo; Hawapo kwenye mikakati ya Taifa kusonga mbele. Wao wanaamini katika ulevi, kamati, kubeti, mpira na mambo kama hayo.
Je, nini kifanyike kubadilisha hiki kizazi? Kesho yao itakuwaje? Je wakifika umri wakuliongoza Taifa watoto wao hawatakuta kila kimeuzwa?
Basi waendelee na mlete mzungu na Mayele .Kijana ashabikie siasa.
Siasa itamlisha?
Siasa Ina wenyewe
Acha tubeti na kupiga boda.
Mbususu zipi wakati wengi wao machokoNa mbususu
Haya, wenye mpira wao wa kubet wamekuja[emoji1]Mpira una shida gani arifu!