Vijana wa 2000 wanajua maigizo(films), muziki, kubeti, kuendesha bodaboda na story za mpira. Huko tuendako watatawaliwa na wageni

Resilience

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2023
Posts
1,096
Reaction score
4,948
Tanzania inapitia kipindi kigumu sana pale unapokuwa na taifa la vijana 18yrs na 25 wasiofahamu mambo ya msingi kwenye nchi. Hawajishughulishi na siasa, uchumi wala maendeleo; Hawapo kwenye mikakati ya Taifa kusonga mbele. Wao wanaamini katika ulevi, kamati, kubeti, mpira na mambo kama hayo.

Je, nini kifanyike kubadilisha hiki kizazi? Kesho yao itakuwaje? Je wakifika umri wakuliongoza Taifa watoto wao hawatakuta kila kimeuzwa?
 
Tanzania inapitia kipindi kigumu sana pale unapokuwa na taifa la vijana 18yrs na 25 wasiofahamu mambo ya msingi kwenye nchi. Hawajishughulishi na siasa, uchumi wala maendeleo ; hawapo kwenye mikakati ya Taifa kusonga mbele. Wao wanaamini katika ulevi, kamati, kubeti, mpira na mambo kama hayo.

Je, nini kifanyike kubadilisha hiki kizazi? Kesho yao itakuwaje? Je wakifika umri wakuliongoza Taifa watoto wao hawatakuta kila kimeuzwa?
Na mbususu
 
Lazima serikali ije na mpango madhubuti wa kuwafanya vijana wapate elimu ya uzalendo.
Sio kuwapa vyeo pekee.
 
Tanzania inapitia kipindi kigumu sana pale unapokuwa na taifa la vijana 18yrs na 25 wasiofahamu mambo ya msingi kwenye nchi. Hawajishughulishi na siasa, uchumi wala maendeleo; Hawapo kwenye mikakati ya Taifa kusonga mbele. Wao wanaamini katika ulevi, kamati, kubeti, mpira na mambo kama hayo.

Je, nini kifanyike kubadilisha hiki kizazi? Kesho yao itakuwaje? Je wakifika umri wakuliongoza Taifa watoto wao hawatakuta kila kimeuzwa?
Kwani hao wageni wa miaka ya 2000 wa huko Wana jipya???

Wale ndo hata kuzaa watoto wamegoma!!!
 
Tanzania inapitia kipindi kigumu sana pale unapokuwa na taifa la vijana 18yrs na 25 wasiofahamu mambo ya msingi kwenye nchi. Hawajishughulishi na siasa, uchumi wala maendeleo; Hawapo kwenye mikakati ya Taifa kusonga mbele. Wao wanaamini katika ulevi, kamati, kubeti, mpira na mambo kama hayo.

Je, nini kifanyike kubadilisha hiki kizazi? Kesho yao itakuwaje? Je wakifika umri wakuliongoza Taifa watoto wao hawatakuta kila kimeuzwa?
Sijaona kizazi kilicho bora kwa Tanzania yetu, bora kuheshimiana tu kuliko kuzodoana

Maisha mabovu watanzania wanapitia ni zao la kizazi kilichotangulia, tena kizazi kinachojihisi kimekua kizazi bora sana na cha kuigwa

Ndugu mwandishi, tafadhari nsaidie kujua nini mnajivunia enyi kizazi mlichotangulia hadi kizazi kipya kikawachukulie nyi kama ma role model
 
Nakupinga Kwa Hoja kubwa,

Mpak sasaivi kizazi kinachoendesha Serikali na Madaraka mbalimbali ni Watu wazima waliozaliwa Miaka kuanzia 1980 kushuka chini,

Ila ona madudu yanayoendelea kwenye Uongozaji wao utashangaa maan ni ujinga mtupu walionao,

hata Vijan wa siku hizi nazungumzia waliozaliwa kuanzia 1995 Kwenda juu Wengi wao wanapend mno Watoto wao na kuwajali,

Tofaut na Wazazi waliozaliwa miaka ya 1980 Kushuka chini kuhus hilo fany uchunguz mwenyewe,

Hat uwezo wa kufikiri na Intelijensia ukitazama Vijana wa 1995 na Hao Watu wazima ni tofaut kabsa watot wa sku hiz wanazaliwa Na uwezo wa harak sana wa kuelewa had kuna kitabu kiliwah zungumzia hili sem nimekisahau jina,

Kizazi cha 1995 Na kuendelea ndo kitaleta Maendeleo makubwa Africa na Duniani, Nyie Wazee mtupishe tu Mna laana ya Utumwa bado ipo Akilini,
 
Maisha mabovu watanzania wanapitia ni zao la kizazi kilichotangulia, tena kizazi kinachojihisi kimekua kizazi bora sana na cha kuigwa
Tena hiki kizazi ndicho kinafanya mambo ambayo "ni kichaa peke yake" angeyakubali. Halafu eti tunajifanya kuwazodoa watoto wetu!
Kama hao watoto wetu ni hopeless basi inabidi sisi wazazi wao tukubali kuwa ni makosa yetu katika malezi, hatukuwalea ilivyopaswa.
 
Tanzania inapitia kipindi kigumu sana pale unapokuwa na taifa la vijana 18yrs na 25 wasiofahamu mambo ya msingi kwenye nchi. Hawajishughulishi na siasa, uchumi wala maendeleo; Hawapo kwenye mikakati ya Taifa kusonga mbele. Wao wanaamini katika ulevi, kamati, kubeti, mpira na mambo kama hayo.

Je, nini kifanyike kubadilisha hiki kizazi? Kesho yao itakuwaje? Je wakifika umri wakuliongoza Taifa watoto wao hawatakuta kila kimeuzwa?
Mbona tayari ! kingine wanachojua ni ugomvi wa Harmonize na Kajala
 
Back
Top Bottom