Resilience
JF-Expert Member
- Jan 4, 2023
- 1,096
- 4,948
Tanzania inapitia kipindi kigumu sana pale unapokuwa na taifa la vijana 18yrs na 25 wasiofahamu mambo ya msingi kwenye nchi. Hawajishughulishi na siasa, uchumi wala maendeleo; Hawapo kwenye mikakati ya Taifa kusonga mbele. Wao wanaamini katika ulevi, kamati, kubeti, mpira na mambo kama hayo.
Je, nini kifanyike kubadilisha hiki kizazi? Kesho yao itakuwaje? Je wakifika umri wakuliongoza Taifa watoto wao hawatakuta kila kimeuzwa?
Je, nini kifanyike kubadilisha hiki kizazi? Kesho yao itakuwaje? Je wakifika umri wakuliongoza Taifa watoto wao hawatakuta kila kimeuzwa?