Vijana wa 2000 watasema hii ni pakiti ya majani ya chai🤣

Mwaka 2001 Nilikuwa na Demu wangu sijui kama anatumia hiyo kitu.. Sasa msimu wa likizo kuna siku nikaenda kwao.. Nikashinda naye.. Kumbe alikuwa na alosto akawa hataki nijue anatumia Kuber.. Akawa kakausha.

Basi mimi sijui nikaaga nikasepa kama dk tano nikagundua nimesahau simu yangu kuifuata nakuta demu mdomo mzito. Nikamuliza vipi tena Asee akani onesha pakti akanambia anabwia..

Basi Nakumbuka kesho yake nili msindikiza mgeni apande treni.. Pale stesheni Si nika uona Nakumbuka ulikuwa unauzwa Jero nika nunua, nikaifungua ile harufu yake kama karafuu nika ichukulia powa.. Nika ibwia kama yote.. Thubutuuu.....

Sitasahu hiyo siku.. Nilitokwa Jasho nilijamba.. Nili nyong'onyea, Mwili ukakosa nguvu.. Ilibidi nika harishe.. Kwanza.. Baada ya hapo Nilikuwa nikiiyona hiyo pakti natapika..
 
Nilishajaribug Miaka Ile nilikua dogo WA la 5 hiv hapo hapo nikakimbilia Choon nilisikia kudrive

😂😂😂😂😂😂😂
 
View attachment 3315466

Hii kitu ni bora ilipigwa marufuku maana ilikuwa imshaanza kula vijana hadi watoto wa primary☠️
jamaa yangu alikula akameza asee kimandera kilimapanda toka siku hiyo mzigo nilikua nanusa harufu tu sikuwahi jaribu hata kuilamba kidogo maana mwamba alitalika kizunguzungu mpka akatoa povu tukajua anavuta call ya mbinguni 🤣🤣🤣🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…