Vijana wa 2000 watasema hii ni pakiti ya majani ya chai๐Ÿคฃ

We utakuwa ulimeza ww hatari sana hii kitu nakumbuka sekondari nipo from 2 Kuna best yangu alibwia hyo Alafu tulikuwa na paper la taifa Yani tunaingia kwenye room yeye baada ya kupewa mtihani akalalia meza mpaka msimamizi akaja kumshtua ni Bora tu walivyozipiga marufuku
 
Kulikuwa kuna hii kuber halafu kuna nyingine inaitwa ZIM... Ah balaa sana..

Huwa nacheka sana nikikumbuka mambo ya zamani halafu Nikilinganisha na hawa Gen Z ndio nacheka zaidi
 
Kuber haikuwa ya kunywa yalikuwa majani majani makavu unabwia tu kama tumbaku, ujuchanganye sasa umeze! Wenye kuharisha waliharisha, kushindwa kunyenyuka, unasweat kama una TB๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€ ila haikuwa rafiki ukiila una njaa
Ilikuwa inawekwa chini ya lips ni mwendo wa kutema mate kama nyoka
 
Asante kwa Kunielewa๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜
Hata bibi yako ni binti wa zamani, au kwa akili yako finyu unafikiri udogo wa umri ni sifa ambayo haiishi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ