Vijana wa Arusha kuuona uhuni na usela ni ujanja kunazidi kulitafuna jiji, usalama umepungua, maadili yameshuka, serikali haina msaada

Huyu Father Neli alikua ni nani mkuu? Nimemsikia sana hasa kwenye bongo fleva za kitambo akitajwa kwa hili jina.
Alikuwa kundi flani la hip hop linaitwa X PLASTERS! Zitafute nyimbo zao!! Moja kati ya ngoma yake Faza Nelly inaitwa Nini dhambi kwa mwenye dhiki,itafute youtube huko ili umjue vizuri! He was a real hip hop nigga
 
Ukaogopa sana
 
OMG
 
Una uhakika hujadanganya katika hata sehemu moja ya maelezo yako? Anyway! Kuna mdau hapo juu kasema vijana wa Arusha wakija Dar wanakuwa ni kama kuku tu (malofa). So, ni vijana wa Arusha ndiyo wanawaonea wivu vijana wajanja na smart, wenye exposure ya kutisha, wa DSM!
 
Hahahaaa

Hapo ndio wivu unapoanzia,Arusha kujulikana internationally zaidi ya Dar

Kinawauma sana yaani

I feel sorry for these suckers!
Una uhakika Arusha inajulikana internationally kuliko Dar?[emoji23] Aisee hata mtoto wa STD 3 akiona hii text atadhani ni script ya FUTUHIIII[emoji23][emoji23][emoji23] Arusha vs Dar? Tuwe serious tuache masihara. Fananisha Arusha na Katavi, Simiyu nk!
 

Iv kwel mtu wa dar awe na wivu na mtu wa Arusha [emoji23][emoji23][emoji23] kichekesho kipya ichi
 
Nimekuja Arusha nimefikia mitaa ya Florida. sasa Muda huu nipo kwa Muorombo hapa stendi wanchoma nyam za Mbuzi namsikia dogo anasema hivii.
Ni ajee Dingii Aisee acha life la chugga lisonge
 
Nimekuja Arusha nimefikia mitaa ya Florida. sasa Muda huu nipo kwa Muorombo hapa stendi wanchoma nyam za Mbuzi namsikia dogo anasema hivii.
Ni ajee Dingii Aisee acha life la chugga lisonge
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…