Vijana wa Arusha kuuona uhuni na usela ni ujanja kunazidi kulitafuna jiji, usalama umepungua, maadili yameshuka, serikali haina msaada

Vijana wa Arusha kuuona uhuni na usela ni ujanja kunazidi kulitafuna jiji, usalama umepungua, maadili yameshuka, serikali haina msaada

Vijana wa Arusha usela mavi mwingi sana. Kuhusu uhalifu ni miaka yote. Arusha unakuta mtoto wa tajiri naye ni jambazi. Miaka ya nyuma kidogo kuna kikundi cha majambazi kiliuwawa na polisi usiku maeneo ya clocktower.. kwenda kutazama ni watoto wa matajiri tupu. Huu usela mavi uliopo sasa hivi unakinaisha mno kwasababu uharibifu wake ni kwa vijana wengi.
 
nakumanya ile yenyewe we mamsi rudisha kwanza hilo libandari ndo tubonge acha kupiga lomoni nyingi .
 
Sawa. Ila kwa kuanza, weka wewe takwimu za vijana wa Dar wenye wivu na vijana wa Arusha nami niweke. Kisha tuendelee. Unaonaje hilo?
Unaona sasa

Mtu wa Dar anaambiwa swali halafu hajibu analigeuza swali hilo hilo kwa aliemuuliza

Kama huwezi kujibu sema siwezi,ila kuligeuza na kumuuliza aliekuuliza ni kama ukichaa fulani hivi

I think ungejibu tu swali au sema siwezi tukuelewe,sio vibaya kusema siwezi!
 
Watu wa pwani ndio waliomuhusisha Nyerere na Sio Nyerere ndie, baada ya Uhuru aliipotosha historia.
Yeye alikuta tayari harakati zimeanza wakampa uongozi wa chama kwa sababu tu ya usomi wake.
Uhuru wa Tanganyika ni matokeo ya makubaliano ya wazee wa pwani na shetani mapangoni bagamoyo ikiwemo masharti Kama uwepo wa umasikini,mbio za mwenge,nk
Umetoa darasa zuri sana kwa vijana cha kuongezea kiini cha nchi hii ni Pwani
 
Back
Top Bottom