Licking Wounds
JF-Expert Member
- Nov 28, 2014
- 3,979
- 5,146
Unaongea kama choko flani au falah flani! Mwanaume unauliza swali kama hili? Fakini kabisaShida yako nn wakifa ww unaumia nn?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unaongea kama choko flani au falah flani! Mwanaume unauliza swali kama hili? Fakini kabisaShida yako nn wakifa ww unaumia nn?
Alikuwa kundi flani la hip hop linaitwa X PLASTERS! Zitafute nyimbo zao!! Moja kati ya ngoma yake Faza Nelly inaitwa Nini dhambi kwa mwenye dhiki,itafute youtube huko ili umjue vizuri! He was a real hip hop niggaHuyu Father Neli alikua ni nani mkuu? Nimemsikia sana hasa kwenye bongo fleva za kitambo akitajwa kwa hili jina.
Huko chugq ndo kuna michicha pori kama yote inashndia mbege tu dadekiidar vijana wanashindana na wadada kwa urembo, wengine wanakulana
hili mbona hatulizungumzii??
Ukaogopa sanaKuna siku nlipishana na machalii wawili mida ya saa tatu usiku, mitaa ya pale mianzini, wakiwa na umri kati ya miaka 13 au 14 hivi.
Mmoja kiunoni anabonge la beto, anamwambia mwenzake "haki ya mama, yule manzi asingetoa ile simu, mi ningemvurugua maini asee".
Peer Pressure/Mob Psychologywanatumia kwa kuigana au ile kutaka kuonekana mzoefu ili kupata sifa za kuonekana ni moja wao
OMGWatu wa pwani ndio waliomuhusisha Nyerere na Sio Nyerere ndie, baada ya Uhuru aliipotosha historia.
Yeye alikuta tayari harakati zimeanza wakampa uongozi wa chama kwa sababu tu ya usomi wake.
Uhuru wa Tanganyika ni matokeo ya makubaliano ya wazee wa pwani na shetani mapangoni bagamoyo ikiwemo masharti Kama uwepo wa umasikini,mbio za mwenge,nk
Una uhakika hujadanganya katika hata sehemu moja ya maelezo yako? Anyway! Kuna mdau hapo juu kasema vijana wa Arusha wakija Dar wanakuwa ni kama kuku tu (malofa). So, ni vijana wa Arusha ndiyo wanawaonea wivu vijana wajanja na smart, wenye exposure ya kutisha, wa DSM!Mkuu
I wonder haya majitu ya Dar kwanini yana wivu sana na Arusha
Arusha ni unique na wana culture yao,whether they like or not!
Na hakuna mtu wa Arusha ameomba ushauri wa how to live from anyone!
Dar sijui kwanini wana wivu sana!
Mimi ni mwenyeji wa Dar ila,I cant stand these motherfvckers!
Una uhakika Arusha inajulikana internationally kuliko Dar?[emoji23] Aisee hata mtoto wa STD 3 akiona hii text atadhani ni script ya FUTUHIIII[emoji23][emoji23][emoji23] Arusha vs Dar? Tuwe serious tuache masihara. Fananisha Arusha na Katavi, Simiyu nk!Hahahaaa
Hapo ndio wivu unapoanzia,Arusha kujulikana internationally zaidi ya Dar
Kinawauma sana yaani
I feel sorry for these suckers!
[emoji23][emoji23][emoji23]Arusha internationaly zaidi ua dar..?? Mkuu acha hzo bangi unachanganyokiwa
Okay! Impact ya majina yao kujulikana sana kuliko DSM ni ipi kwa taifa na kwa wakazi?And you think we are lying?
Jina Kilimanjaro linajulikana zaidi ya jina Tanzania au Dar es Salaam
Jina Serengeti au Arusha yanajulikana kula jina Tanzania au Dar es Salaam
Kama unadhani masihara then check again!
Kbsa wapuuz tu waranagi na wapuuz fln ndio wnaaharibu mji wetuHalafu asilimia kubwa ni wazawa
wenyeji tumetulia tu tunawachora
Sent from my DRA-LX2 using JamiiForums mobile app
Sawa shida vijana wa arusha ni hamuambiliki. Wakati hamjui kitu.We ndio umekoroga mafaili jomba
Comment ya kitoto na kindezi sana hii.Sawa bana chalii ya dar!
Huijui chuga wewe unangaliia ma clip ya Facebook huko!
Wivu tu umewajaa na jiji letu ndo maana mnalialia
Mkuu
I wonder haya majitu ya Dar kwanini yana wivu sana na Arusha
Arusha ni unique na wana culture yao,whether they like or not!
Na hakuna mtu wa Arusha ameomba ushauri wa how to live from anyone!
Dar sijui kwanini wana wivu sana!
Mimi ni mwenyeji wa Dar ila,I cant stand these motherfvckers!
Ni FUTUHI kabisa mkuu...![emoji23][emoji23][emoji23] kwa kipi kwa mfano? Natoa rai wazifi kuja Dar tuwatoe ushamba.Iv kwel mtu wa dar awe na wivu na mtu wa Arusha [emoji23][emoji23][emoji23] kichekesho kipya ichi
Nimekuja Arusha nimefikia mitaa ya Florida. sasa Muda huu nipo kwa Muorombo hapa stendi wanchoma nyam za Mbuzi namsikia dogo anasema hivii.View attachment 2707633
Kunahitajika PROGRAMU ya dharura kuliokoa hili jiji.
Vijana wengi ni waliozaliwa na kukulia hapa hapa ni jamii za wazawa wenye asili ya Arusha kama Wameru na Waarusha pamoja na jamii za wenyeji ambao walihamia na wapo kwa muda mrefu kama Warangi, Wachaga, Wambulu, Wnyaturu.
matokeo ya kuukuta utamaduni wa kutukuza uhuni tangu wakiwa wadogo ndio huchangia zaidi vijana kuendeleza huu utamaduni, imeshakuwa ndani ya mfumo wa maisha wa vijana wengi kwamba ili uonekane mjanja basi uwe mhuni ama mhalifu.
mapikipiki haya ya wanakimbiza vibaya mno, ajali kila siku, wamejaa mount Meru na nkoaranga hospital wamevunjika vunjika miguu,.Bodaboda za kutaftia riziki wanalazimisha ziwe pikipiki za michezo, ukienda kwenye magroup yao haya ya kudandia pikipiki kuna "pumzika kwa amani / rip" nyingi sana.
vijana wanazidi kuutukuza ulevi wa hayo ma k-vant na bangi, sina shida na matumizi ya vilevi hata mimi ni mdau ila nafata misingi,tatizo ni pale wanatumia vilevi kupita kiasi na ku abuse (abnormal use), wanatumia kwa kuigana au ile kutaka kuonekana mzoefu ili kupata sifa za kuonekana ni moja wao, na ndio hapa mtu ananasa kwenye uraibu.
Kuna Umakundi makundi wa kihuni huni wanaoishi bila future,
Suala la kupigana beto (visu) nalo halipo nyuma, Sime na visu vimekuwa vitu ambavyo vinazidi kuzoeleka kutumika sio tu kwenye uporaji bali hata kwenye mabifu ama ugomvi baina ya vijana, niliwahi shuhudia live kwa macho yangu pale karibu na stendi ugomvi niliodhani watu watachapana ngumi niliona mtu anapigwa kisu damu nje nje,kuna clip nimecheki majuzi Fidovato analalamika vijana wanapigana beto, hata wasanii wa huko Father Nelly wa kundi la X Plastaz aliuliwa kwa visu, nae Lord Eyes aliwahi kujeruhiwa,
Wizi nao hauna dalili ya kupungua, watu wanaporwa kikatili sana inabidi utii amri lasivyo utavurugwa maini na beto, bodaboda wanaibiwa pikipiki mpaka kuuwawa, ujambazi nao upo wa kuvamia matajiri, kwa ufupi kuna famjlia zinajulikana kabisa wanaishi mjini kwa shughuli hizo lakini ndio wanapewa heshima maana uhuni unaonekana ujanja.
Ajabu ni kwamba hata polisi ni kama vile wamefumbia jicho ama jitihada wanazofanya ni ndogo sana, ni kama vile wamezila na kujikatia tamaa wamewaacha wenye mji wafanye watachojua wao with little interference
Nakubali japo sio wote lakini mnazngua Sana jombamZee wa kula magudaa kwa hamu ulinichekesha sana. mie mmeru ule uhuni wa mkoa wetu ni upimbi.