Vijana wa Arusha kuuona uhuni na usela ni ujanja kunazidi kulitafuna jiji, usalama umepungua, maadili yameshuka, serikali haina msaada

Kuua kwao ni Jambo la sekunde wanatembeza beto
 
Akili mbovu....

Lini uhuni ukawa na maana ?!!!

Uhuni katika biashara unazalisha maana?!!

Uhuni katika gunduzi za kisayansi unazalisha maana ?!!!

Uhuni katika familia una maana ?!!

Uhuni unaanzisha mataifa na dola?!!

Dola zinalindwa kihuni ?!!!

Uhuni ni upungufu wa AKILI NA FIKRA NA KUFURAHISHA STAREHE ZA MUDA MFUPI TU....

#Kataa Uhuni

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Arusha inahitaji wokovu wa Programu maalum ya Kisayansi kuwatoa walipo. Hali ya Usalama pia siyo ya 100% vijana wamevurugwa ubongo muda wowote anakutoa uhai. Arusha siyo mahali sahihi kulelea familia kuna tatizo la jumla kwenye ile jamii
Mnoo....

Mnoooo....

Unaweza ukadhani uko nchi nyingine isiyo Tanzania....

Kunahitaji PROGRAMU ya dharura.....

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Wana shida....

Sasa kusalimiana ni USHAMBA ?!!

Kutojuliana hali ndio ujanja ?!!!

Kwa hizo tabia zao za kukosa "ujamaa" kumewafanikishia kutengeneza "satellite" na kuirusha sayari za mbali ?!!! [emoji15][emoji15][emoji1787][emoji1787]

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
[emoji7]

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
dar vijana wanashindana na wadada kwa urembo, wengine wanakulana

hili mbona hatulizungumzii??
Unataka kusema kwa starehe zilivyo arusha...vijana hawatafuniki kabisaaaa ?!! [emoji1787][emoji1787]

Unataka kusema kusema WAZUNGU wenye tabia za "LGBT" wanaishia tu Dar na kwengineko ?!!! [emoji1787]

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…