Mkunazi Njiwa
JF-Expert Member
- Apr 22, 2023
- 8,538
- 7,559
Mbona inajulikana ninyi mko Kenya.....wazee wanalitambua hilo [emoji1787][emoji1787]Fata mambo yako jomba temana na raia waishi life lao dingilii!!
Mbona huko kweni kumejaa wachawi na hatubongii!
Unakuja hapa eti Arusha Arusha kama vipi tuachieni Arusha yetu tuamie kenya
Sema kwa sababu ya dola na thamani ya ardhi kubwa....mnalazimika kuwepo mlipo[emoji1787]
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app