Vijana wa Arusha kuuona uhuni na usela ni ujanja kunazidi kulitafuna jiji, usalama umepungua, maadili yameshuka, serikali haina msaada

Fata mambo yako jomba temana na raia waishi life lao dingilii!!
Mbona huko kweni kumejaa wachawi na hatubongii!
Unakuja hapa eti Arusha Arusha kama vipi tuachieni Arusha yetu tuamie kenya
Mbona inajulikana ninyi mko Kenya.....wazee wanalitambua hilo [emoji1787][emoji1787]

Sema kwa sababu ya dola na thamani ya ardhi kubwa....mnalazimika kuwepo mlipo[emoji1787]

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Arusha miaka yote iko hivyo...
Uhalifu unaabudiwa

Kuna familia maarufu za ujambazi...

Arusha ... wanahitaji zaidi exposure ya dunia ....
[emoji7][emoji7]
..... exposure ya dunia....[emoji106]

Uhuni haujawahi kuwa na faida kwa walimwengu....

Eti upandwe mti KIHUNI halafu umee na kuvuna kinachotegemewa ?!!! [emoji1787][emoji1787]

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Arusha inahitaji wokovu wa Programu maalum ya Kisayansi kuwatoa walipo. Hali ya Usalama pia siyo ya 100% vijana wamevurugwa ubongo muda wowote anakutoa uhai. Arusha siyo mahali sahihi kulelea familia kuna tatizo la jumla kwenye ile jamii
But ezii long hawamzuru mtu na wanafanya matukio yao Kama drama za kufurahisha watu hapo hakuna tatizo!!
 
Inasikitisha....

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
nilipishana na katoto ka miaka kama mi 5 hivi kule Mapambazuko et kakanambia Zasahizi Aseee nili mind kimy kimy yan ni mtoto wang wa pili kabsa et Zasahizi

Ingekua n kule kijijin kwet moshi nilishakapiga bakora zakutosha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…