Vijana wa Arusha kuuona uhuni na usela ni ujanja kunazidi kulitafuna jiji, usalama umepungua, maadili yameshuka, serikali haina msaada

Tofauti haya MANENO manne wazawa, wageni, wenyeji na wakuja, tofauti zake ni zipi
Kwa ninavyoelewa mimi kwa akili yangu bila kutumia kamusi, haya maneno tofauti zake au maana zake ni kama ifuatavyo;

1.WAZAWA-ni watu wenye asili ya sehemu au eneo fulani kwa kuzaliwa.

2.WAGENI-ni watu ambao wamekuja/kuhamia/kutembea sehemu au eneo fulani.

3.WENYEJI-ni watu ambao wapo katika eneo au sehemu fulani kwa muda mrefu lakini hawajazaliwa hapo.

4.WAKUJA-hili ni neno tu la mtaani likiwa na maana ya utani kwa watu ambao wamehamia eneo au sehemu fulani wakiwa bado na ushamba wa kutoelewa mazingira mapya ya eneo au sehemu waliyopo.
 
na ubandidu wote huo nasikia Wahuni wenzao wanawafungua 'gia box'kama hawana akili nzuri
 
Yap upo sahihi mkuu tafasiri zako ziingizwe kwenye Kamusi
 
Acha wafe,tupunguze na matumizi ya oksijeni
 
Fata mambo yako jomba temana na raia waishi life lao dingilii!

Mbona huko kweni kumejaa wachawi na hatubongii!

Unakuja hapa eti Arusha Arusha kama vipi tuachieni Arusha yetu tuamie kenya
Yupo sahihi acha usela mavi dogo. Kama wanataka waishi maisha yao wasikate na kujeruhi wengine. Akishalewa viroba vyake akiwa na hamu ya kuchoma mtu kisu, ajichome cha tumbo na sio kujeruhi wengine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…