stow away
JF-Expert Member
- Dec 5, 2022
- 11,073
- 21,945
Mara ndio wanachoma kitu cha Bob Maka Veli kuliko ChugastanMifumo ya malezi ya Mara inawaanda watu wao kuwa wajasiri wapiganaji tofaut na ya wa Chuga.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mara ndio wanachoma kitu cha Bob Maka Veli kuliko ChugastanMifumo ya malezi ya Mara inawaanda watu wao kuwa wajasiri wapiganaji tofaut na ya wa Chuga.
Arusha umeishi wapi au umekulia wapi unaijua Arusha weweNimekulia Arusha, naishi dar, nina miaka 53, hayo ya Arusha nayaona kwenye simu, sijawahi yaona in real life, ni % ndogo sana.
mZee wa kula magudaa kwa hamu ulinichekesha sana. mie mmeru ule uhuni wa mkoa wetu ni upimbi.Nakubali Mkuu c unajua tunakula madude Makali so lazima tuzingatie misosi
mara na arusha ndio sehem za kipuuz sana vjana wehuMara ndio wanachoma kitu cha Bob Maka Veli kuliko Chugastan
'Peer groups' inawaponza vijana, wengi hufanya hayo kwa kuiga tu ili kuonekana 'wamepinda'.View attachment 2707633
Kunahitajika PROGRAMU ya dharura kuliokoa hili jiji.
Vijana wengi ni waliozaliwa na kukulia hapa hapa ni jamii za wazawa wenye asili ya Arusha kama Wameru na Waarusha pamoja na jamii za wenyeji ambao walihamia na wapo kwa muda mrefu kama Warangi, Wachaga, Wambulu, Wnyaturu.
jamii za mikoa ya karibu waliohamia Arusha kwa muda mrefu (sio wakuja). hapa wapo Wameru, Waarusha, Warangi, Wachaga, Wambulu, Wanyaturu.
matokeo ya kuukuta utamaduni wa kutukuza uhuni tangu wakiwa wadogo, imeshakuwa ndani ya mfumo wa maisha wa vijana wengi kwamba ili uonekane mjanja basi uwe mhuni wa kunywa pombe kali, kuvuta bangi ama uwe mhalifu.
mapikipiki haya ya wanakimbiza vibaya mno, ajali kila siku, wamejaa mount Meru na nkoaranga hospital wamevunjika vunjika miguu,.Bodaboda za kutaftia riziki wanalazimisha ziwe pikipiki za michezo, ukienda kwenye magroup yao haya ya kudandia pikipiki kuna "pumzika kwa amani / rip" nyingi sana.
vijana wanazidi kuutukuza ulevi wa hayo ma k-vant na bangi, sina shida na matumizi ya vilevi hata mimi ni mdau ila nafata misingi,tatizo ni pale wanatumia vilevi kupita kiasi na ku abuse (abnormal use), wanatumia kwa kuigana au ile kutaka kuonekana mzoefu ili kupata sifa za kuonekana ni moja wao, na ndio hapa mtu ananasa kwenye uraibu.
Makundi ya vijana wengi ni magenge ya vijana wanaoishi bila future, wanafanya vingi bila kujali madhara wala kesho.
Suala la kupigana beto (visu) nalo halipo nyuma, Sime na visu vimekuwa vitu ambavyo vinazidi kuzoeleka kutumika sio tu kwenye uporaji bali hata kwenye mabifu ama ugomvi baina ya vijana, niliwahi shuhudia live kwa macho yangu pale karibu na stendi ugomvi niliodhani watu watachapana ngumi niliona mtu anapigwa kisu damu nje nje,kuna clip nimecheki majuzi Fidovato analalamika vijana wanapigana beto, hata wasanii wa huko Father Nelly wa kundi la X Plastaz aliuliwa kwa visu, nae Lord Eyes aliwahi kujeruhiwa,
Wizi nao hauna dalili ya kupungua, watu wanaporwa kikatili sana inabidi utii amri lasivyo utavurugwa maini na beto, bodaboda wanaibiwa pikipiki mpaka kuuwawa, ujambazi nao upo wa kuvamia matajiri, kwa ufupi kuna famjlia zinajulikana kabisa wanaishi mjini kwa shughuli hizo lakini ndio wanapewa heshima maana uhuni unaonekana ujanja.
Ajabu ni kwamba hata polisi ni kama vile wamefumbia jicho ama jitihada wanazofanya ni ndogo sana, ni kama vile wamezila na kujikatia tamaa wamewaacha wenye mji wafanye watachojua wao with little interference
Arusha umeishi wapi au umekulia wapi unaijua Arusha wewe
😆😆😆 We jamaa wehu ndio watu gan?mara na arusha ndio sehem za kipuuz sana vjana wehu
Elezea tena umejichanganya nimekuuliza umeishi wapi na umekulia wapi sijakuuliza umepita chocho zipiWe fala, mimi nimezaliwa ngarenaro, na ili niende shule napita matejoo natokea Majengo.
Chocho zote nazijua, kuanzia esso, unga limited, lemara, mianzini, kila mahali.
Katika kila kituo cha boda kuna kiongozi, na kuna watu wazima wengi sana wenye busara.
Uhuni upo, sio kwa kiwango cha kusema kuba tataizo, Arusha hakuna shida ya wahuni, ni ujinga na mtazamo.
💯Watu wa pwani ndio waliomuhusisha Nyerere na Sio Nyerere ndie, baada ya Uhuru aliipotosha historia.
Yeye alikuta tayari harakati zimeanza wakampa uongozi wa chama kwa sababu tu ya usomi wake.
Uhuru wa Tanganyika ni matokeo ya makubaliano ya wazee wa pwani na shetani mapangoni bagamoyo ikiwemo masharti Kama uwepo wa umasikini,mbio za mwenge,nk
Arusha inahitaji wokovu wa Programu maalum ya Kisayansi kuwatoa walipo. Hali ya Usalama pia siyo ya 100% vijana wamevurugwa ubongo muda wowote anakutoa uhai. Arusha siyo mahali sahihi kulelea familia kuna tatizo la jumla kwenye ile jamii
Kitu Cha Arusha na Cha Mara ni tafauti Cha Arusha sijui wamechanganya na taka ganiMara ndio wanachoma kitu cha Bob Maka Veli kuliko Chugastan
Its not government's job to regulate moralityView attachment 2707633
Kunahitajika PROGRAMU ya dharura kuliokoa hili jiji.
Vijana wengi ni waliozaliwa na kukulia hapa hapa ni jamii za wazawa wenye asili ya Arusha kama Wameru na Waarusha pamoja na jamii za wenyeji ambao walihamia na wapo kwa muda mrefu kama Warangi, Wachaga, Wambulu, Wnyaturu.
jamii za mikoa ya karibu waliohamia Arusha kwa muda mrefu (sio wakuja). hapa wapo Wameru, Waarusha, Warangi, Wachaga, Wambulu, Wanyaturu.
matokeo ya kuukuta utamaduni wa kutukuza uhuni tangu wakiwa wadogo, imeshakuwa ndani ya mfumo wa maisha wa vijana wengi kwamba ili uonekane mjanja basi uwe mhuni wa kunywa pombe kali, kuvuta bangi ama uwe mhalifu.
mapikipiki haya ya wanakimbiza vibaya mno, ajali kila siku, wamejaa mount Meru na nkoaranga hospital wamevunjika vunjika miguu,.Bodaboda za kutaftia riziki wanalazimisha ziwe pikipiki za michezo, ukienda kwenye magroup yao haya ya kudandia pikipiki kuna "pumzika kwa amani / rip" nyingi sana.
vijana wanazidi kuutukuza ulevi wa hayo ma k-vant na bangi, sina shida na matumizi ya vilevi hata mimi ni mdau ila nafata misingi,tatizo ni pale wanatumia vilevi kupita kiasi na ku abuse (abnormal use), wanatumia kwa kuigana au ile kutaka kuonekana mzoefu ili kupata sifa za kuonekana ni moja wao, na ndio hapa mtu ananasa kwenye uraibu.
Makundi ya vijana wengi ni magenge ya vijana wanaoishi bila future, wanafanya vingi bila kujali madhara wala kesho.
Suala la kupigana beto (visu) nalo halipo nyuma, Sime na visu vimekuwa vitu ambavyo vinazidi kuzoeleka kutumika sio tu kwenye uporaji bali hata kwenye mabifu ama ugomvi baina ya vijana, niliwahi shuhudia live kwa macho yangu pale karibu na stendi ugomvi niliodhani watu watachapana ngumi niliona mtu anapigwa kisu damu nje nje,kuna clip nimecheki majuzi Fidovato analalamika vijana wanapigana beto, hata wasanii wa huko Father Nelly wa kundi la X Plastaz aliuliwa kwa visu, nae Lord Eyes aliwahi kujeruhiwa,
Wizi nao hauna dalili ya kupungua, watu wanaporwa kikatili sana inabidi utii amri lasivyo utavurugwa maini na beto, bodaboda wanaibiwa pikipiki mpaka kuuwawa, ujambazi nao upo wa kuvamia matajiri, kwa ufupi kuna famjlia zinajulikana kabisa wanaishi mjini kwa shughuli hizo lakini ndio wanapewa heshima maana uhuni unaonekana ujanja.
Ajabu ni kwamba hata polisi ni kama vile wamefumbia jicho ama jitihada wanazofanya ni ndogo sana, ni kama vile wamezila na kujikatia tamaa wamewaacha wenye mji wafanye watachojua wao with little interference
Sawa bana chalii ya dar!Yupo sahihi acha usela mavi dogo. Kama wanataka waishi maisha yao wasikate na kujeruhi wengine. Akishalewa viroba vyake akiwa na hamu ya kuchoma mtu kisu, ajichome cha tumbo na sio kujeruhi wengine.
SEMA Arusha ihamie Kenya manake si hamtuelewiHakuna aliyekukataza, hamia Kenya.
Wakiona vile vituko badala kusikitika wanasema "Arusha iwe nchi bhana" yaani piga hesabu ndo mwanao anakuwa wa hovyo kuvaa manguo oversize na bangi nyingi🥹.Ni ujinga na ulimbukeni tu wa washikaji wanaotoka maisha duni. Ila Arusha ukiwa na akili iliyotulia unatoboa life.
Ni kweli ushindani ni mkubwa na waliokata tamaa ndio wamekuwa na uhuni wa kijinga.
Kuna mitaa kizazi kinapotea sana, inasikitisha.