Mi mi
JF-Expert Member
- Jul 14, 2024
- 2,748
- 5,112
Vijana waendesha boda boda na bajaj wana matatizo gani hawa watoto?
Matukio wanayo fanya na kuwatukia barabarani ni ya kusikitisha sana.
Hawa watoto wanafanya michezo ya hatari barabarani na vyombo vya moto tena vilivyo katika mwendo kasi mimi kwa kweli hunihuzunisha sana.
Inaonekana ni watoto wasiojali uhai wao wala hata afya yao pale matukio mabaya yatakapo wapata.
Wanaacha mizigo sana kwa ndugu mahospitalini ajali zao ni za kutisha kwa kweli wengine hufikia hata hatua ya kupoteza kumbukumbu.
Hawa watoto wanatumia mihadarati inayopelekea kuchanganyikiwa wawepo barabarani?
Hawathamini hata watumiaji wengine wa barabara, hawa thamini wamiliki wa vyombo waliowapatia ili kujiingizia vipato serikali nayo ni kama imewapa kisongo haitaki kuji shughulisha nao.
Nini kifanyike kudhibiti tabia za hawa watoto pale wawepo katika vyombo vya usafiri ? Sheria gani zitungwe kwa ajili yao, elimu gani itolewe kwa ajili yao