"When I speak about my father, I don't have the words. The sadness is for me to be the number one and for him to have never seen it. All my family saw, but my father didn't see any of it."
Cristiano Ronaldo talking about his dad who passed away September 6 of 2005 when he was just 20 years old and making his first steps at Manchester United.
You can win it all, but sometimes you just need the hug that makes you feel at home.
Vijana wa Bongo wanapopata mafanikio wanaanza kujaa viburi na nyodo na kuanza kuwasimanga na kuwahukumu baba zao.
Wanalishwa ujinga na Mama zao, nao hushindwa kutambua kuwa nature ya mwanamke hasa wa Kiafrika ni ubinafsi. Hatasema kwa watoto jema lolote la mumewe zaidi ya lawama. Halafu baba akifariki ndipo anarudi kuwaeleza wanae mema ya baba yao.
Nimependa jinsi CR7 anavyoguswa na baba yake.
Tuna wasanii wakubwa tu hapo Bongo walidiriki kujinadi kwenye media kuwakana baba zao na wengine kuwalaumu kuwa hawakuwatunza.