Usitake kupingana na ukweli... hoja yako ya Ronaldo kutokukimbiwa au kukimbiwa na Baba haina mashiko Dada.
watasha hawanaga huo ujinga wa kuwapandikiza watoto chuki kama nyie wanawake wa kiafrika.
Ikiwa ukweli ataweka ukweli wazi na ikiwa uongo atauweka wazi.
Baba yake na Ronaldo alikuwa mlevi au mraibu wa pombe kupita maelezo mpaka kuna muda alishindwa kufanya kazi na kuendesha familia. Jukumu alilishika Mama yake na baadhi ya kaka zake. Lakini hata siku moja huyo bwana hajawahi kusimama na kumkana au kumkashifu baba yake. Wala mama yake hawezi kuruhusu hilo.
Sio huyo tu wapo wachezaji wengine wana historia ngumu na rafu sana za maisha ya utoto kama vile Ibrahimovic lakini hakuna anayejua na wala hasimami kumponda baba yake. Tazama waafrika sasa [emoji28]
Usitetee upuuzi! Muache kupandikiza watoto chuki na kuwarithisha ujinga wenu.