Vijana wa Bongo jifunzeni kwa CR 7

Mbona ronaldo hana hasira kama wewe eti,
 
Absolutely true
 
Tupe historia vizuri ya maisha ya cristian Ronaldo kabla hajawa star,maana katika pitapita zangu sijawahi kwenye mitandao sijawahi Ona sehemu cristian kasema kwamba alikimbiwa na baba
Nadhani mada yangu sikuiweka vema, na wasomaji imewachanganya hasa wanapolinganisha uhusiano wa CR 7 na Baba yake na hiki ninachoeleza kuhusu baadhi ya celebrities wa Bongo waliowakataa Baba zao baada ya kuupata umaarufu. Kimsingi ni kweli kabisa CR 7 hakuna sehemu inayoonyesha kama Mzee wake hakuwajibika kumlea.

Kilichonifanya niweke ulinganifu huo ni namna CR 7 anavyoonekana wazi kuguswa sana na Baba yake. Ninavyomsoma ninaamini iwapo naye angekuwa amepitia malezi kama ya DIAMOND au OMMY DIMPOZ au Q CHILLER au Mhe KIGWANGALA asingefanya kama hawa walivyofanya kwa wazee wao KUWAPONDA MBELE YA JAMII.

NINAAMINI CR 7 ANGE TAKE EASY KWA KUZINGATIA KWAMBA ILIKUWA NI CONFLICT ZA WAZAZI. NA HUENDA ANGECHUKULIA KUWA MAFANIKIO YAKE YAMETOKANA NA NJIA HIYO
 
All my family saw, but my father didn't see any of it.
Yaan hii inauma pale unapofanikiwa alafu aliekufanikisha hayupo then wanaokula mafanikio yako sio wale waliokupigania ufanikiwe, utatamani ulie
 
Acheni pombe na michepuko mtunze familia zenu. Kuanzisha threads humu JF haisaidii kitu. Tusikimbie responsibilties na kuanza kuwabebesha watu wengine lawama.
 
Acheni pombe na michepuko mtunze familia zenu. Kuanzisha threads humu JF haisaidii kitu. Tusikimbie responsibilties na kuanza kuwabebesha watu wengine lawama.
Kila mtu ameelewa kivyake mimi nimeelewa hio quotation ya kingereza zaidi kuliko hicho kiswahili
 
Anasema "the sadness is for me to be the number one and for him to have never seen it". Naomba kuuliza hapa anazungumzia namba moja ipi labda?
 
Anasema "the sadness is for me to be the number one and for him to have never seen it". Naomba kuuliza hapa anazungumzia namba moja ipi labda?
Balon d O kwani hajawahi kubeba? Kiatu hajawahi kuchukua? Medali hajawahi kuvaa? Ufungaji Bora hajawahi kuchukua? Statue hajajengewa kwao?

We ulitaka aseme nini?
 
Balon d O kwani hajawahi kubeba? Kiatu hajawahi kuchukua? Medali hajawahi kuvaa? Ufungaji Bora hajawahi kuchukua? Statue hajajengewa kwao?

We ulitaka aseme nini?
World cup nayo vipi?
 
Msanii mmoja mkubwa bongo mpaka leo kamnunia baba yake
Itakuwa mazeli wake kamlisha sumu

Ova
 
Msanii mmoja mkubwa bongo mpaka leo kamnunia baba yake
Itakuwa mazeli wake kamlisha sumu

Ova
"Wanalishwa ujinga na Mama zao, nao hushindwa kutambua kuwa nature ya mwanamke hasa wa Kiafrika ni ubinafsi."

KIPANDE HICHO AADHWIIM KABISA CHA UJUMBE KUTOKA KWA NDUGU MLETA MADA CHENYE NUKTA NZITO ILIYOJAWA UKWELI ULIOTUKUKA KIMEMALIZA YOTE! πŸ˜ŠπŸ‘πŸΎ
 
Lea mbegu zako mzee baba zikitoboa zikukumbuke...tena siku hizi rahisi, mpesa tu...
Sio ule tu ujana halafu ukichoka ndio unakumbuka nina kijana..Ronaldo hakutengwa..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…