Vijana wa CCM mnazeekea kwenye corridor za Lumumba. Vijana wa upinzani wanazidi kulamba vyeo. Mpo?

Vijana wa CCM mnazeekea kwenye corridor za Lumumba. Vijana wa upinzani wanazidi kulamba vyeo. Mpo?

Sexless

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2017
Posts
23,683
Reaction score
55,898
Inauma, inauma Sana! Umeanza kuipenda CCM tangu utoto, ukashiriki chipukizi kisha ukaingia UVCCM.

Umesaka mpk vyeti vya elimu ya juu ili uwe na sifa zote za kupewa nafasi ndani ya chama ulichokipambania tangu utoto wako lkn unaishia kusugua benchi kwenye korido za Lumumba.

Kuna siku jpm aliwahi kumpa sifa msomi (wa phd) fulani ndani ya ccm kwamba amekuwa akilipwa laki 5 kwa miaka kibao akisubiri uteuzi.

Lkn vijana toka upinzani wamekuwa wakipiga purukushani za miaka michache tu kisha huonwa na kupewa vyeo.

Ndiyo maana wakinga wanasema:- Joining opposition wing is a short, simple and quick method of securing a post in the government led by CCM.

Sonje wa Songwe alilalamika hadharani juu ya hili. Hoja yake ikazimwa na JPM halafu wanaccm kindakindaki mkaufayata.

Mifano hii hapa:
Shonza, Gekul, Waitara, Silinde, Dr. Slaa, KAFULILA, Mkumbo, Katambi, Mghwira, Mtatiro, Mollel, na wengine wengi Sana.

Sasa wewe gamba endelea kukodoa macho huko CCM. Wenzako wameanzia upinzani ili soon walambe vyeo.
 
Unatumia vibaya haki yako ya kutoa maoni .Yaani unavuka mipaka,tukisema tuwajibu mnakimbulia kwa mods eti "nipigwe ban" huo ni uzandiki na undezi. Haya wewe unafaidika nini na Ruzuku aliyovuta mbowe tar 27 Nov 2020??🤔
 
Hao vijana wa upinzani ndio wanaojua udhaifu wa upinzani kipindi cha Uchaguzi watu wanashinda mapema!
 
Kumtegemea mtu au chama kutatua changamoto binafsi ni uzembe wa kufikili mwisho ni chuki na visasi.
 
Vijana wa CCM kwenye Corridor za Lumumba!😁
263823765.jpg
 
Hao uliowataja hapo wengi ni CCM walioenda upinzani kwa mkopo tu then wamerudi walikotoka.

Mwanampotevu akirudi nyumbani hukirimiwa kuliko watoto wengine.
 
Hao uliowataja hapo wengi ni CCM walioenda upinzani kwa mkopo tu then wamerudi walikotoka.

Mwanampotevu akirudi nyumbani hukirimiwa kuliko watoto wengine.
Endeleeni kujidanganya hapo lumumba! Anyway, awateuwe mkafanye nini wakati anajua msaada ni sifuri ndio maana kutwa mnashinda lumumba hamjui mwende wapi!
 
Utalikuta Etwege linamuaga kabisa mke wake kila asubuhi eti linawahi kazini. Laiti angemuona linavyoning'iniza poumbou kwenye sofa za lounge Lumumba huku likiposti upuuz jamvini akisubiria jioni llipwe buku 7
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom