Vijana wa CCM mnazeekea kwenye corridor za Lumumba. Vijana wa upinzani wanazidi kulamba vyeo. Mpo?

Nijambo la kupongeza iwapo Rais anateua hats waupinzani wanaomuelewa lakini wajinga watabeza na kutengeneza majungu kitu wanachokiweza kuliko kazi.
 
Inauma, inauma Sana! Umeanza kuipenda CCM tangu utoto, ukashiriki chipukizi kisha ukaingia UVCCM.

Umesaka mpk vyeti vya elimu ya juu ili uwe na sifa zote za kupewa nafasi ndani ya chama ulichokipambania tangu utoto wako lkn unaishia kusugua benchi kwenye korido za Lumumba.

Kuna siku jpm aliwahi kumpa sifa msomi (wa phd) fulani ndani ya ccm kwamba amekuwa akilipwa laki 5 kwa miaka kibao akisubiri uteuzi.

Lkn vijana toka upinzani wamekuwa wakipiga purukushani za miaka michache tu kisha huonwa na kupewa vyeo.

Ndiyo maana wakinga wanasema:- Joining opposition wing is a short, simple and quick method of securing a post in the government led by CCM.

Mifano hii hapa:
Shonza, Gekul, Waitara, Silinde, Dr. Slaa, KAFULILA, Mkumbo, Katambi, Mghwira, na wengine wengi Sana.

Sasa wewe gamba endelea kukodoa macho huko CCM. Wenzako wameanzia upinzani ili soon walambe vyeo.
Namhurumia sana kijana mmoja anaitwa Kheri James. Anazurura huku na huku akikijenga chama kupitia UVCCM lakini wala haonwi hata ubunge wa kuteuliwa tu. Wenzao akina Katambi, Silinde na baadaye Mdee, Matiko, Bulaya wataukwaa ubunge wa kupewa na hata ukubwa mwingine watapewa yeye hola! Nawaonea huruma sana UVCCM. Sijui wanafeli wapi? Mbona vyama vya Chadema na ACT vipo? Waingie huko tuwaone maana ndani ya CCM huwezi kuonekana hata ufanyeje. Hata Polepole mwenyewe alionwa kwa uana harakati wake yeye na mwenzake mimacho kodo, a.k.a Jalalani Kabudi
 
Inauma, inauma Sana! Umeanza kuipenda CCM tangu utoto, ukashiriki chipukizi kisha ukaingia UVCCM.

Umesaka mpk vyeti vya elimu ya juu ili uwe na sifa zote za kupewa nafasi ndani ya chama ulichokipambania tangu utoto wako lkn unaishia kusugua benchi kwenye korido za Lumumba.

Kuna siku jpm aliwahi kumpa sifa msomi (wa phd) fulani ndani ya ccm kwamba amekuwa akilipwa laki 5 kwa miaka kibao akisubiri uteuzi.

Lkn vijana toka upinzani wamekuwa wakipiga purukushani za miaka michache tu kisha huonwa na kupewa vyeo.

Ndiyo maana wakinga wanasema:- Joining opposition wing is a short, simple and quick method of securing a post in the government led by CCM.

Mifano hii hapa:
Shonza, Gekul, Waitara, Silinde, Dr. Slaa, KAFULILA, Mkumbo, Katambi, Mghwira, na wengine wengi Sana.

Sasa wewe gamba endelea kukodoa macho huko CCM. Wenzako wameanzia upinzani ili soon walambe vyeo.
wapo wengi. Ongeza hapo Cecilia Mwambe, Lijualikali, Mollel, Fred Lowassa, Mwampamba, Moses machali, n.k. Ni wengi mno! Vijana wa Lumumba wanapiga miayo tu. Ukienda Chadema mwaka mmoja tu unakutosha kuonekana na unaweza chukua hata cheo cha Majaliwa chap chap
 
Mwampamba alijiharibia mwenyewe kwa kula ' the forbidden apple'
 
wapo wengi. Ongeza hapo Cecilia Mwambe, Lijualikali, Mollel, Fred Lowassa, Mwampamba, Moses machali, n.k. Ni wengi mno! Vijana wa Lumumba wanapiga miayo tu. Ukienda Chadema mwaka mmoja tu unakutosha kuonekana na unaweza chukua hata cheo cha Majaliwa chap chap
Julius Mtatiro muweke kwenye list
 
Inauma, inauma Sana! Umeanza kuipenda CCM tangu utoto, ukashiriki chipukizi kisha ukaingia UVCCM.

Umesaka mpk vyeti vya elimu ya juu ili uwe na sifa zote za kupewa nafasi ndani ya chama ulichokipambania tangu utoto wako lkn unaishia kusugua benchi kwenye korido za Lumumba.

Kuna siku jpm aliwahi kumpa sifa msomi (wa phd) fulani ndani ya ccm kwamba amekuwa akilipwa laki 5 kwa miaka kibao akisubiri uteuzi.

Lkn vijana toka upinzani wamekuwa wakipiga purukushani za miaka michache tu kisha huonwa na kupewa vyeo.

Ndiyo maana wakinga wanasema:- Joining opposition wing is a short, simple and quick method of securing a post in the government led by CCM.

Mifano hii hapa:
Shonza, Gekul, Waitara, Silinde, Dr. Slaa, KAFULILA, Mkumbo, Katambi, Mghwira, na wengine wengi Sana.

Sasa wewe gamba endelea kukodoa macho huko CCM. Wenzako wameanzia upinzani ili soon walambe vyeo.
Ujumbe wa kishamba sana huu..
Labda nikuulize;
unafikiri kuwa ccm ni kutafuta vyeo au;
KILA mwanaccm lazima awe na cheo au;
kila mwanaccm anauwezo wa kuwa na vyeo.
Kwani ujuavyo wewe Kuna vyeo vingapi na walioko lumumba ni wangapi na wenye sifa au uwezo wangapi.
Au hao Wapinzani waliohama CCM wote wamepata vyeo..!?

Tambua kwamba kuwa mkereketwa maana yake ni kujitolea na sio kupata ujira au ajira.. hayo ni matokeo tu. Aidha hawako pale Kama kwenye foleni kusubiri... Na wale wanaosubiri wote sio wakereketwa bali ni watafuta fursa tyuu
Ndio maana watu walimlaani sana Nape alipojinasibu kuingiza ccm madarakani kwa mkono wake wakati yeye alikuwa mtumishi aliyekuwa akilipwa mishahara na marupurupu kwa kazi alizokuwa anafanya wakati wapi watu huku mitaani wakereketwa wa kujitolea tu ambao wao ndio wanachangia chama kea Hali na mali..
Mfano mzuri Mimi binafsi mwaka 2015 nilitoa hela yangu ya mfukoni sh.150000 ili nisafiri kwenda kupiga kura.. hii ilitokea baada ya kuwa nimehama dakika za mwisho kabla ya uchaguzi..
 
UNAJIFARIJI ETI? MBONA MWENZETU MWANACCM KULE SONGWE ALILALAMIKA MBELE YA JIWE KUWA WANACCM WANASONONEKA SANA KWA NAFASI NYINGI KUCHUKULIWA NA WAKUJA AKINA SILINDE, JIWE AKAMZODOA KUWA KAMA MNA UBAVU MBONA WALISHINDA UCHAGUZI?
 
Hao ni kina Nape, ccm maslahi
 
Back
Top Bottom