Vijana wa CCM mnazeekea kwenye corridor za Lumumba. Vijana wa upinzani wanazidi kulamba vyeo. Mpo?

Vijana wa CCM mnazeekea kwenye corridor za Lumumba. Vijana wa upinzani wanazidi kulamba vyeo. Mpo?

Kamanda umesahau kwamba karibu wote uliowataja walikuwa CCM, wakahamia upinzani na kwa hiyo wanarudi tu nyumbani kwao. Ukiacha Katambi na Silinde wengine wote walikuwa wanachama watiifu wa CCM na kadi zao huenda wanazo hadi leo. Kwa mfano, Mwita alikuwa Katibu wa UVCCM Tanga kabla hajahamia CHADEMA na hatimaye kurudi nyumbani.
 
Back
Top Bottom