Vijana wa CCM mnazeekea kwenye corridor za Lumumba. Vijana wa upinzani wanazidi kulamba vyeo. Mpo?

Kamanda umesahau kwamba karibu wote uliowataja walikuwa CCM, wakahamia upinzani na kwa hiyo wanarudi tu nyumbani kwao. Ukiacha Katambi na Silinde wengine wote walikuwa wanachama watiifu wa CCM na kadi zao huenda wanazo hadi leo. Kwa mfano, Mwita alikuwa Katibu wa UVCCM Tanga kabla hajahamia CHADEMA na hatimaye kurudi nyumbani.
 
Wajinga hawa cc Etwege cc Elitwege barbarosa magonjwa mtambuka jingalao
HaaπŸ€£πŸ˜‚πŸ˜πŸ˜ƒπŸ˜„πŸ˜…πŸ˜πŸ˜€πŸ˜‚πŸ˜ƒ
Wapo Humo Humo Na Wanasomeshwa Number Taratibu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…