MINOCYCLINE
JF-Expert Member
- Apr 2, 2015
- 8,018
- 16,802
Nimepita Mwenge na Kununua Sahani yenye Mseto wa Matunda yote Muhimu kwa Tsh 1000/= tu na kuna Vijana wa Chuo nimekuta wamenunua Chips na Mishikaki kwa Tsh 2500/= na wanakula kwa Kushea ( Kupeana Assist )
Cha Kushangaza Wao wakawa wananicheka Mightier kwa Kula Sahani yangu ile ya Mseto wa Matunda wakisema Nimepigika ( Nimeishiwa ) na kwamba Wao kwa Chips Kavu yao na Mishikaki yao Miwili ndiyo wanakula Kishua ( Kitajiri ) na inavyotakiwa.
Sasa naomba kujua tu je, Mimi na Wao ( hawa Vijana wa Chuo Mwenge ) nani kala Afya na kala Matatizo kwa Usiku huu ambao ndiyo Kwanza Saa 5 hii unaanza Kukolea na nani huenda baadae Usiku Njaa itamshika na atakosa kabisa Usingizi na Kupeana Kolabo na Wachawi pamoja na Vibaka hadi Kunakucha?