Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
umeshinda weweNimepita Mwenge na Kununua Sahani yenye Mseto wa Matunda yote Muhimu kwa Tsh 1000/= tu na kuna Vijana wa Chuo nimekuta wamenunua Chips na Mishikaki kwa Tsh 2500/= na wanakula kwa Kushea ( Kupeana Assist )
Cha Kushangaza Wao wakawa wananicheka Mightier kwa Kula Sahani yangu ile ya Mseto wa Matunda wakisema Nimepigika ( Nimeishiwa ) na kwamba Wao kwa Chips Kavu yao na Mishikaki yao Miwili ndiyo wanakula Kishua ( Kitajiri ) na inavyotakiwa.
Sasa naomba kujua tu je, Mimi na Wao ( hawa Vijana wa Chuo Mwenge ) nani kala Afya na kala Matatizo kwa Usiku huu ambao ndiyo Kwanza Saa 5 hii unaanza Kukolea na nani huenda baadae Usiku Njaa itamshika na atakosa kabisa Usingizi na Kupeana Kolabo na Wachawi pamoja na Vibaka hadi Kunakucha?