Vijana wa Dar es Salaam mmekuwaje? Hii ni aibu kwa taifa

Vijana wa Dar es Salaam mmekuwaje? Hii ni aibu kwa taifa

20220528_144152.jpg
NITAWAPIGA UKUNI NIKIENDA DAR PUMBAAAVU!
 
Wengine ni wazee kama mimi halafu wanavaa hivi vikaputula ni hatari kwa kweli
 
Ndo fashion na vindala vile na ipod jifulana kubwa la special lina picha ya travis Scott,Lily baby,quavo au 6ix9ine
 
Vijana wa dar wamekua wa hovyo sana

Jana lisasi kadhaa zimesikika kigamboni, watu wamekimbilia jf baada aende eneo husika akatoe msaada
 
Lifestyle za huku bongo zinapishana sana wengine tunashinda kanisani
 
Wanasema kuna joto[emoji1787] may be wanaona wana mapaja mazuri meupe yanavutia
 
Back
Top Bottom