[emoji23] kuna mmoja tulikaa siti moja wiki iliyopita DAR-MBEYA niseme jamani ile ni boxer[emoji1] sasa alivo bonge niko sit ya dirishani kajitanua huyooo na umbaumbau wangu kidogo anitolee dirishani sio kwa kunibana,,, akili ikajiuliza inakuwaje ndani ya basi kunaAC n tumetoka alfajiri tuendako ni mji wa baridi hii bukta vip,,, [emoji23][emoji23] nikaukumbuka ule uzi wa wanaume wa GYM na matukio yao nikajisemea hii safari huyu bwana hajainjoi alijua siti mwenza angekuwa mwanaume mwenzake huenda angepata danga.