Vijana wa Dar es Salaam mmekuwaje? Hii ni aibu kwa taifa

Vijana wa Dar es Salaam mmekuwaje? Hii ni aibu kwa taifa

Ukiwa hauishi dar salam huwezi elewa kama kuna fangasi za kila mara, joto na kukosa aman ukiwa umevaa jinsi mida wote

mie siwezi kuwashangaa kwa sababu najua hali dsm isipokuwa kweli mabaro mabaro wanao liwa tako wapo.
 
Serikali nayo imefumbia macho uvaaji wa hovyo wa vijana.

Bungeni nako kimyaa!

Wakike mapaja nje, sasa wanaume pia.

Aaahhh. Paanzishwe jeshi maalumu la mgambo huko Dar wanakoanzisha ujinga ujinga akionekana mwanaume mapaja nje ni fimbo tu.

Miaka miwili watanyooka wanatuletea nuksi tu.
 
Hivi mnazungumziaga maadili gani ayo mbona mi siyafahamu.

Apo zamani utamaduni wetu ulikuwa ni kuziba viuongo vya uzazi tu, sasa huo tunaouita utamaduni wetu hauruhusu mapaja kuwa nje muasisi wake ni nani? Na ulianzishwa lini?
Evolution was still in progress. But not now.
 
Oh yes. Those Bushmen when you meet them in Gaborone you can't even recognise them, they are full dressed.
Wee bwana wamasai tnapanda nao mabasi humu na mapaja yao tunayaona shida iko wapi
 
Wee bwana wamasai tnapanda nao mabasi humu na mapaja yao tunayaona shida iko wapi
Hao sina shida nao kwani najua ni utamaduni wao. Shida I nakuja kwa kijana wa Kichaga, Kihaya, Kisukuma, Kibondei, nk nk.. In hot pence!! Hapana ndugu yangu.
 
Kaptula avae mwingine fedheha upate wewe... Eboo? Mm mwnyw sio mvaaji ila sina mda wa kujua nani kavaa nn na kwa nn napenda sana sarawili tena za kawaida ila sina shda na vya kubana vya wengne ishi maisha yako mkuu
 
Hao sina shida nao kwani najua ni utamaduni wao. Shida I nakuja kwa kijana wa Kichaga, Kihaya, Kisukuma, Kibondei, nk nk.. In hot pence!! Hapana ndugu yangu.
Aya bwana wee kama u have a problem with that thats u....kwangu mie ata utumbe uchi poa tuu kwanza dar joto
 
Swadakta mkuu

Back
Top Bottom