Bull Striker
JF-Expert Member
- Dec 2, 2018
- 455
- 1,012
Mi nikiona paja tuu na dindishaaWee bwana kwani kuonyesha mapaja tatizo liko wapi?

Hapa muhuni lunya kazidisha aisee. Sio swaga tena kaishia kutamanisha watu makalio yake.
Dar kunatatizo sio bure mwanaume unaejielewa huwezi kuvaa hiv hata kama ndo fashion!View attachment 2242265NITAWAPIGA UKUNI HAWA MICHICHA.
Karibu sanaOooh sawa. Naona unapata upepo mwanana. Mi niko Igawa nimeingia jioni hii kuna kaupepo kanashawishi vibaya
Hawaheshimu wakubwaKwa muda wa takribani wiki mbili tangia niingie Dar es salaam nimejikuta na duwaa kwa kuwashangaa vijana na wanaume wanaovaa vipensi vifupi vinavyoonyesha mapaja.
Je?
Msingi wa jambo hili ni nini maana kimaadili halijakaa sawa.
Hivi ni kweli vijana hawa hawaishi na watu wazima ambao wanaweza kuwa wasimamizi wa maadili.
Hii ni aibu kwa taifa hasa ukizingatia jiji hili linapokea watu wa aina mbalimbali kutoka sehemu mbalimbali.
Vijana tuache ulimbukeni kwani si kila jambo linalozuka ulimwenguni ni la kuiga mengine yanatushushia heshima hasa katika jamii inayotuzunguka .
Sisi watu wa vijijini tumekua tukiambia dar kuna wajanja kama huu ndo ujanja wenyewe nibaki kuwa mshamba milele na wala sitadhurika na ushamba na wala sio huu ujinya.
Sisi ndo tunatakiwa tuwe mfano bora wa kuigwa kwa watoto wanaokuwa kwa sasa.
Haya si maadili wala mila zetu.
NB:najua wahusika mtakuja kunishambulia kwa fujo ila ukweli ndio huo
Rudi kwenu mkuu waache vijana wa dar es SalaamKwa muda wa takribani wiki mbili tangia niingie Dar es salaam nimejikuta na duwaa kwa kuwashangaa vijana na wanaume wanaovaa vipensi vifupi vinavyoonyesha mapaja.
Je?
Msingi wa jambo hili ni nini maana kimaadili halijakaa sawa.
Hivi ni kweli vijana hawa hawaishi na watu wazima ambao wanaweza kuwa wasimamizi wa maadili.
Hii ni aibu kwa taifa hasa ukizingatia jiji hili linapokea watu wa aina mbalimbali kutoka sehemu mbalimbali.
Vijana tuache ulimbukeni kwani si kila jambo linalozuka ulimwenguni ni la kuiga mengine yanatushushia heshima hasa katika jamii inayotuzunguka .
Sisi watu wa vijijini tumekua tukiambia dar kuna wajanja kama huu ndo ujanja wenyewe nibaki kuwa mshamba milele na wala sitadhurika na ushamba na wala sio huu ujinya.
Sisi ndo tunatakiwa tuwe mfano bora wa kuigwa kwa watoto wanaokuwa kwa sasa.
Haya si maadili wala mila zetu.
NB:najua wahusika mtakuja kunishambulia kwa fujo ila ukweli ndio huo
Wengi wanaopenda kuvaa hivyo ni mabwabwaKwa muda wa takribani wiki mbili tangia niingie Dar es salaam nimejikuta na duwaa kwa kuwashangaa vijana na wanaume wanaovaa vipensi vifupi vinavyoonyesha mapaja.
Je?
Msingi wa jambo hili ni nini maana kimaadili halijakaa sawa.
Hivi ni kweli vijana hawa hawaishi na watu wazima ambao wanaweza kuwa wasimamizi wa maadili.
Hii ni aibu kwa taifa hasa ukizingatia jiji hili linapokea watu wa aina mbalimbali kutoka sehemu mbalimbali.
Vijana tuache ulimbukeni kwani si kila jambo linalozuka ulimwenguni ni la kuiga mengine yanatushushia heshima hasa katika jamii inayotuzunguka .
Sisi watu wa vijijini tumekua tukiambia dar kuna wajanja kama huu ndo ujanja wenyewe nibaki kuwa mshamba milele na wala sitadhurika na ushamba na wala sio huu ujinya.
Sisi ndo tunatakiwa tuwe mfano bora wa kuigwa kwa watoto wanaokuwa kwa sasa.
Haya si maadili wala mila zetu.
NB:najua wahusika mtakuja kunishambulia kwa fujo ila ukweli ndio huo
Ushauri wako ni mwema sana ila nakushauri ujikite zaidi kwenye kilimo cha Mpunga na Viazi tusije tukalala njaa kama taifa.Wewe fanya kilichokupeleka, fanya yako, fuata maisha yako, hangaika na yako, neng'eneka na yako, ukifata ya watu utakufa mapema. Ushauri kutoka mbarali
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wewe fanya kilichokupeleka, fanya yako, fuata maisha yako, hangaika na yako, neng'eneka na yako, ukifata ya watu utakufa mapema. Ushauri kutoka mbarali
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Labda wanahisi joto. Hapo bado ujakutana na wanaume wanaoitana "my"
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ndo fashion na vindala vile na ipod jifulana kubwa la special lina picha ya travis Scott,Lily baby,quavo au 6ix9ine
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ukimaliza shughuli zako urudi uwaache wenyewe, Kila mtu kwao