PureView zeiss
JF-Expert Member
- Sep 5, 2016
- 14,521
- 46,663
Hehe mzee naona umeidadavua pichaWewe ndio huyo mpiga picha unaonekana kwenye kioo hapo?
Ndivyo wanavyoitwa'Majunya' kumbe ndo wanavoitwa
Hahaha nimecheka mpaka nimejishtukia mahali nilipo nikisubiri game ya watani wajadi.Umewahi kuangalia mechi za mpira wa miguu?
View attachment 2242248
CHEKI HUYU KAACHA MATAKO WAZI HUKU KASHIKILIA PIPI NITAWAPIGA UKUNI NIKIENDA DAR.
Sio muhuni ni mpumbavu nitampiga ukuni.Hapa muhuni lunya kazidisha aisee. Sio swaga tena kaishia kutamanisha watu makalio yake.