Vijana wa Dar es Salaam mmekuwaje? Hii ni aibu kwa taifa

Sivai vikaptula, ila hata nikiamua kuvaa hakuna wa kunizuia. Maana sivunji sheria, wala siendi kinyume na katiba ya jamhuri ya muungano wa Tanzania!
Mwachie mwanao avae mkuu...hilo c vazi rasm sanaa kwa mwanaume..labda kwa hawa vijana wanaosoma shule za upili
 
Mbaya sna hao vijaana wametokea mikoani so wenyeji wa hapa
 
[emoji23][emoji23][emoji23] afu gays wengi hawapendi kukaa na wakaka, hata kwa bus wanawapenda wadada story na umbea wa hapa na palee, woiiiiiih
 
Wanaacha paja nje ili 'wauze'. Biashara matangazao Bob!
 
Sivai vikaptula, ila hata nikiamua kuvaa hakuna wa kunizuia. Maana sivunji sheria, wala siendi kinyume na katiba ya jamhuri ya muungano wa Tanzania!
Hao wanaoapa kuilinda na kuitetea ndio wanaoikanyaga kama haipo vile, hivyo hata wewe Utakuwa salama tu ukiikanyaga!
 
Umewaambia ukweli naona wanakufokea tu mzee wamezidi hao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…