Vijana wa Form Six walioenda JKT bado wanaendelea kuishi kwa mateso

Wewe na yeye wote ni matahira.

Enzi hizi Tanzania haina tetesi wala adui wa kuliamsha naye badala umpeleke hata ajifunze kushona viatu, unampeleka jkt isiyo na manufaa kwake.

Mwambie akomae

Nchi zote duaniani zina maadui muda wote, tofauti ni threat level
Just because hauko kwenye vita haimaanishi uweke defences zako chini nope
 
Acha tabia za kimama wewe ulitaka waishi kama hostel za kanosa au St. Mary's? Ndo mana pakaitwa jeshini
 
Tecnolojia ya Leo unamfundisha kijana ku homana na singe? kubeba magogo yaliyoko kaa kwenye maji miaka na miaka, tubadilike kutokana na Dunia inavyokwenda
 
Acha afanye mafunzo, kukosa pesa napo mafunzo, unataka ale kama yupo nyumbani?
 
Suala sio chakula Wala mazoezi magumu huyo ni mazoea yk tu. Mazingira mapya yasiyo na raha mchezo lazma kichwa kiwake
 
kuruti hata umpe ndoo ya chakula haridhiki,kuruti ni mdudu acha apate mateso
 
Acha ujinga wewe unataka ale na kusaza. Kilichoongezeka pale ni fatigue zinazofanya ale sana na kuona chakula kidogo
 
Heshimu taratibu za jeshi, tunahitaji Vijana WA kulinda Taifa letu baadae na Sio midebwedo
 
Wewe unazungumzia jeshi la zamani, ndio walikuwa wanapewa posho. Hata vyuo vikuu si vilikuwa na posho? wakati siku hizi unapewa mkopo, utaulipa baadae, au wewe mwenyewe ulipie. Mambo yamebadilika.
Uliza uambiwe, hata kiasi ukitaka naweza kukutajia, zamani 30, Kuna kiasi wameongezewa, japo si kubwa ni posho tu, unafikili mwanao hatakuambia ukweli ili iweje? Zaidi ya kukubom tu uongouongo, ili hatanue kambini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…