Miguel Alvarez
JF-Expert Member
- May 28, 2019
- 2,856
- 5,430
Ukisikia kupigwa nje ndani ndio huku 🤣🤣🤣🤣 K/koo ny**koSiku nyingine fanya window shopng kabla ya kufamya maamuz ya kununua kitu. Iyo Hd Cable n 3000 na Tv gard n 7000 nzur 10000
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukisikia kupigwa nje ndani ndio huku 🤣🤣🤣🤣 K/koo ny**koSiku nyingine fanya window shopng kabla ya kufamya maamuz ya kununua kitu. Iyo Hd Cable n 3000 na Tv gard n 7000 nzur 10000
Itakua mitaa ya nyamwezi hio...Ndugu zangu nikiwa katika harakati za kununua vifaa kwa ajili ya tv yangu yaani Tv guard na Hd Tv cable 4k haya ndio yaliyonikuta.
Nikaenda moja kwa moja kwenye moja ya maduka yanauza tv, baada ya kufika pale nikauliza hivi vifaa wakaniambia vipo.
Tukaanza kubagain bei, tv guard wakanimbi 30,000 na Hd tv cable 20,000, nikatoa macho mbona bei kali hivyo? Jamaa akanikazia macho brothe hivi vitu ni og.
Nikasema hapana vyote nitawapa 25,000 Tukazozana pale bei mwisho siku tukakubaliana 30,000 kwa vyote, yaani tv guard kwa 20,000 na Hd tv cable kwa 10’000.
Wakaniambia brother lipia, nikawambia nipe kwanza bidhaa ndio nilipie, wakasema havipo hapa ngoja nifuate stoo, nikawambia tunaenda wote.
Hao tukaongozana cha ajabu tunazunguka tu stoo hatufiki, cha ajabu tena tunapita kwenye baadhi ya maduka kuulizia hizo bidhaa, kiujumla nikajua kinachoendelea kuwa kijana anatafuta ridhiki.
Nikamtahadharisha kuwa, nataka bidhaa yenyewe maana nimesha jua kuwa zile bidhaa walikuwa hawana ata ile ngoja nikachukue stoo ilikuwa nizugisha tu.
Basi tukafika kwenye moja ya duka akauliza akaambiwa zipo muuzaji akamtajia bei, nikastaajabu, guard tv 10,000 na Hd tv cable 8,000.
Kumbuka kule aliniambia vyote nitavipata kwa 50,000 na tukakubaliana kuwa nitampa vyote kwa 30,000 dah.😀😀
Kwa kuwa tulikuwa tumeshazunguka sana, nikaona siyo kesi nikampa ile tuliyokubalia awali kisha nikatabasam.
View attachment 2832101
View attachment 2832102
Uhuru pale mzeeItaku
Itakua mitaa ya nyamwezi hio...
Hii HD tv cable ndio HDMI cable?Ndugu zangu nikiwa katika harakati za kununua vifaa kwa ajili ya tv yangu yaani Tv guard na Hd Tv cable 4k haya ndio yaliyonikuta.
Nikaenda moja kwa moja kwenye moja ya maduka yanauza tv, baada ya kufika pale nikauliza hivi vifaa wakaniambia vipo.
Tukaanza kubagain bei, tv guard wakanimbi 30,000 na Hd tv cable 20,000, nikatoa macho mbona bei kali hivyo? Jamaa akanikazia macho brothe hivi vitu ni og.
Nikasema hapana vyote nitawapa 25,000 Tukazozana pale bei mwisho siku tukakubaliana 30,000 kwa vyote, yaani tv guard kwa 20,000 na Hd tv cable kwa 10’000.
Wakaniambia brother lipia, nikawambia nipe kwanza bidhaa ndio nilipie, wakasema havipo hapa ngoja nifuate stoo, nikawambia tunaenda wote.
Hao tukaongozana cha ajabu tunazunguka tu stoo hatufiki, cha ajabu tena tunapita kwenye baadhi ya maduka kuulizia hizo bidhaa, kiujumla nikajua kinachoendelea kuwa kijana anatafuta ridhiki.
Nikamtahadharisha kuwa, nataka bidhaa yenyewe maana nimesha jua kuwa zile bidhaa walikuwa hawana ata ile ngoja nikachukue stoo ilikuwa nizugisha tu.
Basi tukafika kwenye moja ya duka akauliza akaambiwa zipo muuzaji akamtajia bei, nikastaajabu, guard tv 10,000 na Hd tv cable 8,000.
Kumbuka kule aliniambia vyote nitavipata kwa 50,000 na tukakubaliana kuwa nitampa vyote kwa 30,000 dah.[emoji3][emoji3]
Kwa kuwa tulikuwa tumeshazunguka sana, nikaona siyo kesi nikampa ile tuliyokubalia awali kisha nikatabasam.
View attachment 2832101
View attachment 2832102
Ndio mkuuHii HD tv cable ndio HDMI cable?
SSA hyo ni akili au matumizi mabaya y akili
Hii tabia ipo hata kwa mafundi simu. Unapita barabarani unakuta jamaa kaweka benchi na kompyuta lake bovu hata haliwaki halafu anasema anaflash simu aina zote😆😆😆Ndugu zangu nikiwa katika harakati za kununua vifaa kwa ajili ya tv yangu yaani Tv guard na Hd Tv cable 4k haya ndio yaliyonikuta.
Nikaenda moja kwa moja kwenye moja ya maduka yanauza tv, baada ya kufika pale nikauliza hivi vifaa wakaniambia vipo.
Tukaanza kubagain bei, tv guard wakanimbi 30,000 na Hd tv cable 20,000, nikatoa macho mbona bei kali hivyo? Jamaa akanikazia macho brothe hivi vitu ni og.
Nikasema hapana vyote nitawapa 25,000 Tukazozana pale bei mwisho siku tukakubaliana 30,000 kwa vyote, yaani tv guard kwa 20,000 na Hd tv cable kwa 10’000.
Wakaniambia brother lipia, nikawambia nipe kwanza bidhaa ndio nilipie, wakasema havipo hapa ngoja nifuate stoo, nikawambia tunaenda wote.
Hao tukaongozana cha ajabu tunazunguka tu stoo hatufiki, cha ajabu tena tunapita kwenye baadhi ya maduka kuulizia hizo bidhaa, kiujumla nikajua kinachoendelea kuwa kijana anatafuta ridhiki.
Nikamtahadharisha kuwa, nataka bidhaa yenyewe maana nimesha jua kuwa zile bidhaa walikuwa hawana ata ile ngoja nikachukue stoo ilikuwa nizugisha tu.
Basi tukafika kwenye moja ya duka akauliza akaambiwa zipo muuzaji akamtajia bei, nikastaajabu, guard tv 10,000 na Hd tv cable 8,000.
Kumbuka kule aliniambia vyote nitavipata kwa 50,000 na tukakubaliana kuwa nitampa vyote kwa 30,000 dah.😀😀
Kwa kuwa tulikuwa tumeshazunguka sana, nikaona siyo kesi nikampa ile tuliyokubalia awali kisha nikatabasam.
View attachment 2832101
View attachment 2832102
Unakubali kuibiwa, utakuja kuchumbiwa. Yaani wanaume wa Dar mnaaibisha sana. Mnafaa kuchapwa bakoraNdugu zangu nikiwa katika harakati za kununua vifaa kwa ajili ya tv yangu yaani Tv guard na Hd Tv cable 4k haya ndio yaliyonikuta.
Nikaenda moja kwa moja kwenye moja ya maduka yanauza tv, baada ya kufika pale nikauliza hivi vifaa wakaniambia vipo.
Tukaanza kubagain bei, tv guard wakanimbi 30,000 na Hd tv cable 20,000, nikatoa macho mbona bei kali hivyo? Jamaa akanikazia macho brothe hivi vitu ni og.
Nikasema hapana vyote nitawapa 25,000 Tukazozana pale bei mwisho siku tukakubaliana 30,000 kwa vyote, yaani tv guard kwa 20,000 na Hd tv cable kwa 10’000.
Wakaniambia brother lipia, nikawambia nipe kwanza bidhaa ndio nilipie, wakasema havipo hapa ngoja nifuate stoo, nikawambia tunaenda wote.
Hao tukaongozana cha ajabu tunazunguka tu stoo hatufiki, cha ajabu tena tunapita kwenye baadhi ya maduka kuulizia hizo bidhaa, kiujumla nikajua kinachoendelea kuwa kijana anatafuta ridhiki.
Nikamtahadharisha kuwa, nataka bidhaa yenyewe maana nimesha jua kuwa zile bidhaa walikuwa hawana ata ile ngoja nikachukue stoo ilikuwa nizugisha tu.
Basi tukafika kwenye moja ya duka akauliza akaambiwa zipo muuzaji akamtajia bei, nikastaajabu, guard tv 10,000 na Hd tv cable 8,000.
Kumbuka kule aliniambia vyote nitavipata kwa 50,000 na tukakubaliana kuwa nitampa vyote kwa 30,000 dah.😀😀
Kwa kuwa tulikuwa tumeshazunguka sana, nikaona siyo kesi nikampa ile tuliyokubalia awali kisha nikatabasam.
View attachment 2832101
View attachment 2832102
Wengi sana wanaopost matanazo sijui wanauza hiko na kile no mawinga tu.Juzi pia niliona Fridge nzuri ktk moja ya mitandao. Nikamchek jamaa akasema anafanya delivery..
Ila akili ikanicheza nikamwambia nakuja dukani (nia yangu nipate risiti na pia nipajue just in case ikizingua, pia ninunue na kitu kingine nikipenda).
Kufika Pale kkoo jamaa kanifata naona ananipeleka sehem ambapo kwa kawaida kitu kama fridge si rahisi kukaa kwenye yale maduka.
Kumbe ni store huko kakosa ikabidi tuhame mtaa.. (hapa nikajua jamaa ni Winga) ikabidi niwe mpole...
Uzuri bei tuliyokubaliana ilikuwa rafiki sana maan nimeokoa kama laki 6 hivi ningenunua M.City au ktk Malls zingine.
Kuna wazazi wana hasara sanaNakuona JIZI LA KARIAKOO unatetea MAJIZI MENZAKO [emoji3061]
Hao siy9 "vijana waKariakoo", hao ni wakuja kama wewe tu.Ndugu zangu nikiwa katika harakati za kununua vifaa kwa ajili ya tv yangu yaani Tv guard na Hd Tv cable 4k haya ndio yaliyonikuta.
Nikaenda moja kwa moja kwenye moja ya maduka yanauza tv, baada ya kufika pale nikauliza hivi vifaa wakaniambia vipo.
Tukaanza kubagain bei, tv guard wakanimbi 30,000 na Hd tv cable 20,000, nikatoa macho mbona bei kali hivyo? Jamaa akanikazia macho brothe hivi vitu ni og.
Nikasema hapana vyote nitawapa 25,000 Tukazozana pale bei mwisho siku tukakubaliana 30,000 kwa vyote, yaani tv guard kwa 20,000 na Hd tv cable kwa 10’000.
Wakaniambia brother lipia, nikawambia nipe kwanza bidhaa ndio nilipie, wakasema havipo hapa ngoja nifuate stoo, nikawambia tunaenda wote.
Hao tukaongozana cha ajabu tunazunguka tu stoo hatufiki, cha ajabu tena tunapita kwenye baadhi ya maduka kuulizia hizo bidhaa, kiujumla nikajua kinachoendelea kuwa kijana anatafuta ridhiki.
Nikamtahadharisha kuwa, nataka bidhaa yenyewe maana nimesha jua kuwa zile bidhaa walikuwa hawana ata ile ngoja nikachukue stoo ilikuwa nizugisha tu.
Basi tukafika kwenye moja ya duka akauliza akaambiwa zipo muuzaji akamtajia bei, nikastaajabu, guard tv 10,000 na Hd tv cable 8,000.
Kumbuka kule aliniambia vyote nitavipata kwa 50,000 na tukakubaliana kuwa nitampa vyote kwa 30,000 dah.😀😀
Kwa kuwa tulikuwa tumeshazunguka sana, nikaona siyo kesi nikampa ile tuliyokubalia awali kisha nikatabasam.
View attachment 2832101
View attachment 2832102
Hivi TV guard inaweza kutumika kwenye kulinda fridge na fridge guard nayo ikatumika kwenye kulinda TV?Guard inazima umeme ukizidi au kupungua kiwango flani
Guard pia inazuia umeme kupanda ghafla (kama ule unaoambukizwa na radi) yenyewe inaufyonza
Guard pia inachelewesha umeme kwenda kweny tv, pale unaporudi baada ya kukatika, mpaka utulie