Vijana wa kariakoo leo mmeniweza, nimewanyooshea mikono juu

Mkuu wewe ni boyaa no offence next time hawana waambie wakuelekeze Kwa kidole kama hawataki waambie una miguu uendelee kuulizia,na ni kupe Akili next time usiibiwe kiboya(Yani inaniuma kama hiyo 12k ni yangu)Kabla hujanunua kitu ulizia duka 3 tofauti utapata average price then utajua uchukue duka lipi.. kapishiii?
 
Itaku
Itakua mitaa ya nyamwezi hio...
 
Hii HD tv cable ndio HDMI cable?
 
Hii tabia ipo hata kwa mafundi simu. Unapita barabarani unakuta jamaa kaweka benchi na kompyuta lake bovu hata haliwaki halafu anasema anaflash simu aina zoteπŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
Ukimpa simu anakwambia kaa hapo nakuja, anaenda kuflash kwa mtaalam akirudi anakwambia 25,000lumbe ni 15,000

Nyingine hii tabia ipo sana kwenye maduka mengi, unaingia dukani unakuta vijana nyomiiiii hata unashindwa kujua mwenye duka ni yupi
 
Unakubali kuibiwa, utakuja kuchumbiwa. Yaani wanaume wa Dar mnaaibisha sana. Mnafaa kuchapwa bakora
 
Wengi sana wanaopost matanazo sijui wanauza hiko na kile no mawinga tu.
Anaweza akaongea na mwenye duka kila bidhaa awepe hata 20k endapo ataleta mteja toka mitandaoni
 
Hao siy9 "vijana waKariakoo", hao ni wakuja kama wewe tu.

Vijana wa Kariakoo siyo wezi.
 
Guard inazima umeme ukizidi au kupungua kiwango flani

Guard pia inazuia umeme kupanda ghafla (kama ule unaoambukizwa na radi) yenyewe inaufyonza

Guard pia inachelewesha umeme kwenda kweny tv, pale unaporudi baada ya kukatika, mpaka utulie
Hivi TV guard inaweza kutumika kwenye kulinda fridge na fridge guard nayo ikatumika kwenye kulinda TV?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…